Jamani nifanyeje? Kitimoto wa poli avunja urafiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nifanyeje? Kitimoto wa poli avunja urafiki!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jun 6, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  jamani kuna rafiki yangu,kulingana na imani yake ya dini kumbe hali kiti moto(msabato),nimekwenda naye maeneo ya mwananyamala kupata moja baridi moja moto,nikaagiza kiti moto wa poli,kama kilo moja tukala na yeye akaisifia sana hiyo nyama kuwa mbona ni tamu hivyo!akatoa hela tuongeze nusu,na mimi ckujua kama na wasabato hawatumii kitu hiyo,ikaletwa ile nusu tukala,baadaye ananiuliza hivi hii nyama ni ya nini?ni kamjibu,eehe bwana ilikuwa balaa huo ugomvi tumeumalizia police.kwani amevunja viti,chupa na meza za watu,amelipa,kuhusu mimi nikaonekana sina kosa.kwani hii kiti moto ya poli ni mona na m2u huwezi jua hadi m2u akwambie.muwe mnauliza kabla ya kula.na urafiki umevunjika.
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hiyo ni aina mpya ya kitimoto imezaliwa?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  baba mdudu nooooooma!
   
 4. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naye huyo msabato wako ana hitikadi za urafi yaani umekwisha sweka kitoweo tumboni kisha ndo unauliza aina ya nyama?Duh,hii nayo kali.Lakini nikupe pole kwa mkasa uliokupata.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  mi mbona muislam lakini puandefu nalkula kama kawa? Msabato huyo analake jambo
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he utamu umemzidi.kesho utamkuta anakula kwa hiari yake
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ukisikia upambaf ndiyo huu wa msabato uchwara
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Hahahahh! Ms na ffox wamenipm wanasema tuibuke mwananyamala tukapige hii kitu
  bei gani pale aisee?
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Msabato anakunywa lager?
   
 10. w

  white wizard JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wanakata kuanzia sh.6000,na kuendelea,ila kuikuta kaka ni timing.kwani demand yake ni kubwa sana.
   
 11. S

  Samuel A K Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aache usabato aendeleze kitimoto, kwani kuna kitu ingine tamu kuzidi hiyo? ushauri wangu kila mtu aitumie hiyo ni bomba
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,455
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Nikitaka kuwahi niende mida gani nina hamu nayo sana
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  mbona lager ndio dhambi kubwa kuliko hicho kiumbe kilichoumbwa na mikono ya Mungu?
   
Loading...