Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Wenye hizi habari waniambie jamani nimesikia kuwa Dr. Remmy Ongala amefariki nipeni deatail sina habari zozote kuhusu kifo cha Dr. Remmy Ongala
Last edited by a moderator:
Naona hakuna Mtu wa kutujibu ngoja nitafute kwenye Google Search Engine yangu naweza kupata hiyo habari ya kuondokewa na Gwiji la Musiki Dr Remmy ongalahata mimi nimesikia ila sina uhakika nasubiri source
PICHA - Mazishi ya Dokta Remmy Ongala
Mazishi ya Dokta Remmy Ongala Friday, December 17, 2010 3:53 AM
Picha za mazishi ya mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Ramazani Mtoro Ongala au maarufu kwa jina la Dokta Remmy ambaye alifariki jumapili akiwa na umri wa miaka 63. Maelfu ya watu walijitokeza kwenye viwanja vya Biafra jana kumuaga mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Dokta Remmy Ongala aliyefariki jumapili kutokana na kuugua muda mrefu ugonjwa wa kisukari.
Dokta Remmy alizaliwa Feb 10. 1947 na alifariki tarehe 12 Dec 2010 na alizikwa jana katika Makaburi ya Sinza jirani na nyumbani kwake.
Gonga Linki chini kwa picha za mazisha ya Dokta Remmy. GONGA HAPA KWA PICHA ZA MAZISHI YA DOKTA REMMY
NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=905999