Kila la kheri mkuuNamimi kuanzia mwezi wa 4 nataka nitoweke humu mpk mwakani
Baada ya pale aliendelea kuchangia sana. Lakini ghafla bin vuu hayupo, nimekuja Dar kun ishu nilikuwa nataka nimpe namtumia E-Mails hajibu.Kuna uzi humu alipost kama yuko so stressed hivi hata wewe ulichangia sana
Atakuwa kapumzika tu ataibukaBaada ya pale aliendelea kuchangia sana. Lakini ghafla bin vuu hayupo, nimekuja Dar kun ishu nilikuwa nataka nimpe namtumia E-Mails hajibu.
Unamaanisha ID ya Nokia83 itatoweka? Mimi huwa napumzika wiki mbili au mwezi....ila ngumu sana ukiwa jf addictNamimi kuanzia mwezi wa 4 nataka nitoweke humu mpk mwakani
Unamaanisha ID ya Nokia83 itatoweka? Mimi huwa napumzika wiki mbili au mwezi....ila ngumu sana ukiwa jf addict
Naomba namba yake kama unayo au E-Mail.Yuko kwao Kigoma anavua migebuka na kulima chikichi
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Wenzako hawaagiNamimi kuanzia mwezi wa 4 nataka nitoweke humu mpk mwakani
Wenzako hawaagi
Mm nmeaga ili watu wasipate tabu ya kufungua uzi namna hii
pumzika kwa a m n
Atakuwa nje ya mtandao,mgonjwa,au amebadili user name au IDWandugu namtafuta huyu ndugu yangu,
Sijamuona jukwaani muda mrefu na hata simu zake hazipatikani.
Ambaye anajua alipo naomba amwambie kaka yake amemkumbuka sana anitafute.
Wick , Hussein Melkiory
Kumbe huyo jamaa ni mwanaume??Mchumba wa zamani na mie ndio nimemkumbuka kweli kawa adimu humu...popote alipo Mwenyezi Mungu amlinde