Abomination!Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?
Husninyo huyu mtu imekuaje sasa?
Hommie, hii si name calling? Kuna hommie wangu mmoja, njemba iliyotahiriwa kabisa inaitwa RR humu jamvini............ Sasa dah!how are you RR? Umefanikiwa kuchoropoka naona. Karibu
idadi yenu na kina nani ? anakuchanganya au unajichanganya mwenyewe ? hebu rudi kwenye uliyoyaandika -ndoto yangu ,NINA TATIZO,na ujue kuna wanaume tunapenda wanawake wakorofi sio kila ulisemo ndio mzee.Ww c umeamua kumwaga ugali malizia na mboga kabisa kwan naona idadi yetu haihesabiki unatuchanganya sana lol!!!
idadi yenu na kina nani ? anakuchanganya au unajichanganya mwenyewe ? hebu rudi kwenye uliyoyaandika -ndoto yangu ,NINA TATIZO,na ujue kuna wanaume tunapenda wanawake wakorofi sio kila ulisemo ndio mzee.
sema kweli!!!!!mkuu husninyo hajatulia.ni kicheche.
Haaaa!!!! Hutapata uhalisia wa mtu humu jf kwa kusoma coment zake tuuu!!!!
Kuwa mawngalifu
Kweli kabisa!!
hivi mtu akikwambia ww ni kicheche anamaanisha nn???
Kipipi hujambo??
Mambo vp husninyo, habari za dom...!