Mhhhh!
Mbona mimi ndo boyfriend wake na tunaishi raha mstarehe?...lol
Sipendi ugomvi Tuko.....!!
leo hadi mama mkwe wako na baba mkwe watajua small houses zote. kwani husn una apartments ngapi wewe?kha!
kwn mko wangap mr?
Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?
Usiwe na hofu, me muelewa....hahahahaha, mkwe apartment yangu moja tu ila si unajua wachawi lazima wawangie. Lol. Nashukuru son wako ni mwelewa maana ningekuwa nishaachika.
Kumbe na wewe... bas taratibu, sitakugusa mkono..