mkuu una experience / ushafanya hii kazi ? Sababu wale vijana sometimes wanavyoshuka haraka na kuweka kigingi na kukiondoa (ukizingatia ubovu wa magari yetu) inahitaji mtu mwepesi sana..., usije ukatufia mkuu kwa kupata ajali au ukachelewa kuweka kigingi gari likasimamia mtaroni