Jamani natafuta Mume

cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
20,899
Likes
62,564
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
20,899 62,564 280
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

:D:D:D
:p
 
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,473
Likes
1,112
Points
280
Age
40
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,473 1,112 280
Njoo pm nikutanie kidogo
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,458
Likes
3,392
Points
280
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,458 3,392 280
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili. :D:D:D :p
Njoo kwangu mama, usije pata mafisadi, waongo, watafuta "kiki" Chadema Diaspora CHADEMA wakakusmbua ile mbaya, tatizo nimeoa, sasa hapo kwako...wapuuzi kabisa hao..
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,144
Likes
3,107
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,144 3,107 280
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

:D:D:D
:p
Namba ya simu tena halafu kwa wewe ambaye ni Tishio kwenye hoja zako za Siasa za Mlengo wa kule... Duu ngoja watu wajilipue ila sijui...
 
BUSARA ZANGU

BUSARA ZANGU

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
751
Likes
1,055
Points
180
BUSARA ZANGU

BUSARA ZANGU

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
751 1,055 180
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

:D:D:D
:p
Mimi nisingekuja hata ungekuwa serious, kwa style yako ya .... makonda oyeee
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
20,899
Likes
62,564
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
20,899 62,564 280
Unadhan nani atakutaka uje kuzalia matoto yenye akili za ccm??
Eeeeeh
Kwa hiyo wanangu unafikiri wana akili hizo
Ha haaaa mbavu zangu...

Wako wamejaaa uUKAWA basi.
 
Forum statistics

Threads 1,213,166
Members 461,974
Posts 28,468,971