Habari zenu wana Jf,
Kuna rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwez wa nane mwishon, jana mchumba wake alienda kupima na ikaonekana ana ujauzito wa mwezi mmoja, sasa wanapata wakati mgumu kwa kuwa hadi mwezi wa nane mwishon ujauzito utakuwa na miez minne, kinachowasumbua kichwa, kama mimba itakuwa inaonekana je mchungaji hawezi kugoma kufungisha ndoa? Wao ni waumini wa lutheran, anaomba ushauri kwa mwenye uzoefu na suala hili.
Naomba kuwasilisha