Jamani naombeni ushauri juu ya hili

Jamani naombeni ushauri juu ya hili

Hii dhana ya watu kupanda mbegu na kuakikisha rutuba ipo vyema, imeshika hatamu sana. Kwa miezi minne still itakuwa bado ndogo hasa bibi harusi akivishwa shela pana kiasi.
Mtoto atakuwa katika stage kati ya week ya 16 mpaka 20.
Bibi arusi mtarajiwa atakuwa anajisikia hali hii

Wiki ya kumi na nane-
Kama ni mimba yako ya kwanza, utatambua mazunguko ya mtoto akicheza tumboni.
Mtoto anaanza kunenepa zaidi ingawa bado unaweza kuona mishipa ya damu yake kwa sababu ya ngozi nyembamba.
Ana sm 20 na
anapenda kupiga teke.

Wiki ya kumi na tisa-Unaona kwamba unanenepa kidogo, na tumbo linaanza kueneza.
Mtoto anaanza kupata jicho la meno ya pili kwenye taya

Wiki ya ishirini-Unaweza kuanza kuona na macho michezo ya mtoto, na mtu anaweza kusikia kutoka njee.
Week kati ya kumi na sita mpaka ya 20 ni hali nzuri kufunga ndoa hasa kwa mjamzito jinsi atakavyo kuwa anajisikia.

Tofauti na week kati ya 6 mpaka 8
Week ya 6 - anaweza kujisikia kutapika anapoamka asubuhi au anapopika
week ya 7 - anaweza kujisikia kizunguzungu akisimama muda mrefu
week ya 8 - anaweza kuwa hana hamu ya kula baadhi ya vyakula
Kwa hiyo ndugu mimba ya miezi minne na kuendelea ni vyema kufunga ndoa kuliko mwanamke akiwa na mimba ya week za mwanzoni katika dhana ya harusi kuwa nzuri na kupendeza.
.
 
Wachungaji watakuwepo tu mkuu, ila hata kama wataungana binafsi sidhani kama hilo tukio litaitwa "Kufunga Ndoa"

Huyo Mputa ndio chaguo lao kwa sasa, jamaa wamefulia hawana hela wale
kwani yule malkia mwenye gauni refu waliyekuwa wanamchukulia kama mungu amefulia au amesoma ameona hawasomeki!!
 
well said....umenikumbusha wakati naaza kuingia kwenye game siku nilimpigia magoti demu naomba niingize kichwa tuu...naye akanipa similar response. hahaha haya bwana basi ngoja nije kula kabisa

Njoo uangukie pua na kichwa chako....
Ntakipunyua kichwa chote...
 
Njoo uangukie pua na kichwa chako....
Ntakipunyua kichwa chote...

hahaha sasa nikiangukia pua na kicha sii maana yake tayari nitakuwa ndani yako...kichwa cha dushelele ndani ya vjayjay na pua well that means nitakuwa napata denda lol
 
hahaha sasa nikiangukia pua na kicha sii maana yake tayari nitakuwa ndani yako...kichwa cha dushelele ndani ya vjayjay na pua well that means nitakuwa napata denda lol

mmmmmmhhhhh......papuch itatokea katika paji la uso.
Waulize wenzio
 
kwani yule malkia mwenye gauni refu waliyekuwa wanamchukulia kama mungu amefulia au amesoma ameona hawasomeki!!

Hahaha...mkuu tusichakachue sredi ya watu, hii mambo tutasogoa kule kijiweni kwetu.
Yule malkia hawezi kushindana na Manji kaka, labda kwenye kutengeneza asali..
 
Tatizo ndoa za siku hizi ni kama tunajidanganya nafsi zetu tu, ndoa zinafungwa kwa taratibu za kidini lakini wanaofunga ndoa mioyoni wapo tofauti. Hapo kuna tatizo gani kama mkristo wa kweli kuna kuogopa nini na hiyo imeshatokea kwamba wameshafanya uzinzi kabla ya ndoa na kinachotakiwa ni kukaa na mchungaji kuangalia taratibu zinasemaje kuhusu hilo kwani kutenda dhambi ni kosa lakini anaetubu husamehewa mbele za mungu

Ukiona hivyo,ujue hao kwa nje walikuwa wanajifanya wapendwa(wameokoka/walokole) sasa wanaona hiyo mimba itawafehesha na kwani jamii iliyowazunguka inajua hawabanjuani kumbe wanafanya kwa siri,na kama ndivyo ona shetani alivowaumbua.
 
Hawa ni wakristo hiyo ki2 Hamna na una ushahidi upi? Weka mstari wa kuwaongoza kwa imani yao.... I mean toa Neno kwenye Bible liwaongoze.. Upooo?


hayo mambo yako kwa wenzetu(waislamu) ndo wanasemaga kuwa unafunga ndoa na watu wawili.lakini wakristo hatuna hiyo.
 
Hawa ni wakristo hiyo ki2 Hamna na una ushahidi upi? Weka mstari wa kuwaongoza kwa imani yao.... I mean toa Neno kwenye Bible liwaongoze.. Upooo?

Wakristo wasiofuata misingi ya ukristo na ndio maana wanaumiza kichwa kwa kuogopa mimba kuonekana wakati mungu wanaomwamini tayari ameshawaona wanakosa tangu wanapigana mikasi mpaka ka-zygote kanaanza kutokea, kinachotakiwa sio kumficha mwanadamu bali ni kujitokeza hadharani na kuwaona wazee wa kanisa ili waweze kuangalia namna ya kufanya kulingana na maandiko yanavyosema
 
Ukiona hivyo,ujue hao kwa nje walikuwa wanajifanya wapendwa(wameokoka/walokole) sasa wanaona hiyo mimba itawafehesha na kwani jamii iliyowazunguka inajua hawabanjuani kumbe wanafanya kwa siri,na kama ndivyo ona shetani alivowaumbua.

kweli mdau maana hapo kitakachofanyika ndoa itafungwa kwa utaratibu wa kikristo lakini mungu hayupo kati yao kwani watakuwa wamewadanganya wanadamu lakini mungu wao wanaemwamini anajua kinachoendelea
 
Habari zenu wana Jf,
Kuna rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwez wa nane mwishon, jana mchumba wake alienda kupima na ikaonekana ana ujauzito wa mwezi mmoja, sasa wanapata wakati mgumu kwa kuwa hadi mwezi wa nane mwishon ujauzito utakuwa na miez minne, kinachowasumbua kichwa, kama mimba itakuwa inaonekana je mchungaji hawezi kugoma kufungisha ndoa? Wao ni waumini wa lutheran, anaomba ushauri kwa mwenye uzoefu na suala hili.
Naomba kuwasilisha

wala asiumize kichwa rafiki yako mbona hiyo mimba ni ndogo... Tumeshaona watu wakifunga ndoa na mimba ya miezi 9 sembuse mi4, wachungaji wenyewe sikuhizi wakishua.
 
Sijajua huyu jamaa anaumiza kichwa kwa sababu gani:-

1. Anaona bi harusi atakua amechoka na maandalizi ya harusi.
2. Anaogopa bi harusi amepata mimba kabla ya ndoa na wao ni wakristo.

Kama ni kesi ya kwanzasio lazima wawahi kufunga ndoa kama itabainika itasababisha madhara kwa upande wa bi harusi.
Kwa upande mwingine kesi ya pili inabidi wawaeleze wachungaji ili wawashauri utaratibu wa kufuatwa kwa sababu hadi hapo, tayari kuna kitu kinachofanya utaratibu wa kawaida usifuatwe.

Thanks
 
kinachotakiwa kwanza anahitajika arudishwa kundini na baada ya kurudishwa kundini anabariki ndoa na yote hayo yanaweza kufanyika siku hiyo hiyo ya harusi yaani anarudishwa kundini kwanza then anabariki ndoa na mambo yanaendlea kama kwaida lakini mungu alisema zaeni muongezeke muijaze nchi wala hajasema mfunge ndoa kabla,hayo ya ndoa ni sheria tu za kanisa
 
Amuite waishi na hiyo hela ya michango kama wameshatoa watu aitie mfukoni then maisha yasonge. Ndoa nyingi zimekuwa na matatizo kwa sababu watu wanafungishana wenyewe vitandani then wanaenda kumkejeli Mungu. Mungu naye anawapa pigo la mizozo kila kukicha hatimaye kuachana. Ndoa hujengwa kwa mwanzo mzuri wa uchumba na SI VINGINEVYO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom