Jamani naombeni ushauri juu ya hili

Jamani naombeni ushauri juu ya hili

Mwambie rafiki yako asiogope wala asiwe na wasiwasi asilimia kubwa na wanaofunga ndoa wanakua wameshavunja amri ya sita(usizini) mimba ni matokeo ya walichokua wanakifanya cha msingi ni kumweleza mchungaji kabla ya mafundisho ya ndoa ili mrudi kundini kwa walutheran wataelewa na siku ya harusi mnafunga ndoa mkiwa mmsheshatubu dhambi ya usinzi ila asilimia kubwa ya wanaofunga ndoa dhambi ya uzinifu wanakua wameshaitenda
 
ishu hapa ni kwamba mwanamke alitaka hiyo mimba....kama mwanamke hataki mimba ndugu yangu, utatwanga maji kwenye kinu. Eleweni mwanaume kutaka kusex kavu doesnt mean anataka mtoto...it just means he trusts u enough na anataka utamu orijino.

ndo huo utamu sasa uliomponza! Lol!
 
take it from me,
Ndoa yaweza kufungwa huyo mke akiwa mjamzito na wala mchungaji asikatae kuwafungusha. Huwa kinachofayika ni kwamba watarudishwa kundini kabla ya ndoa kufungwa na huu ndio utaratibu wa kanisa la kilutheri.

kwangu mimi ukweli hadi mwezi wa nane binti atakuwa na mimba ya miez isiyopungua 4 kwa kumfanyisha huyu mama kazi nyingi sana zinazotokana na maandalizi ya sherehe ya harusi ni wazi kwamba atakuwa overwhelmed na hizo task and lastly atamuumiza mtoto na hata kumsababishia kupata still birth. nimeshuhudia wadada wengi sana ambao walikuwa wanahangaikia shughuli zao za ndoa wakiwa wajawazito huishia kupata still birth ama kumiscarry. mnd you first trimester ni very complicated and sensitive sana kwenye ujauzito. they shld me very careful kama lengo lao ni pamoja na kumpata huyo mtoto.
 
Wafunge ndoa ya kiserikali, baadaye mwanamke akishajifungua wakabariki ndoa yao.
lakini mtu akitubu kanisani na kuungama husamehewa!!wakatubu kuwa waliteleza,then wakishafanya hivyo nadhani watafunga hiyo ndoa huko kanisani!!(najaribu kufikiria tu sina ufahamu wa hayo mambo ya toba)
 
Kuna vitu havionjek....maana ukionja ndo ushakula tena

well said....umenikumbusha wakati naaza kuingia kwenye game siku nilimpigia magoti demu naomba niingize kichwa tuu...naye akanipa similar response. hahaha haya bwana basi ngoja nije kula kabisa
 
Huenda ipo hivyo...

lakini mtu akitubu kanisani na kuungama husamehewa!!wakatubu kuwa waliteleza,then wakishafanya hivyo nadhani watafunga hiyo ndoa huko kanisani!!(najaribu kufikiria tu sina ufahamu wa hayo mambo ya toba)
 
++

Kama mchungaji akikataa basi waahirishe ndoa WATABARIKI
++
 
wambie watoe tu.

mmhh huu mtihani sasa, nitampa ushauri mwingine ila sio huu, kwa sababu nitajitwisha dhambi ambazo haznistahli, bado cjapata feedback toka kwake ni nini atafanya.
 
ha ha ha ha ha!hatuna mchungaji huku ndani atufafanulie...by the way wamemchukua kibadeni!

Wachungaji watakuwepo tu mkuu, ila hata kama wataungana binafsi sidhani kama hilo tukio litaitwa "Kufunga Ndoa"

Huyo Mputa ndio chaguo lao kwa sasa, jamaa wamefulia hawana hela wale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom