Jamani simu yangu nikifungua internet inastaki, nimeenda ofisi za voda wananiambia inabidi niiflash. Nimeenda kwa mafundi wa kuflash wananiambia gharama ni 50000/= ambayo ina karibia na niliyonunulia simu. Sasa naomba mnijulishe jinsi ya kuflash PC ninayo, internet masaa 24, cable zote zipo, sijui tu jinsi ya KUFLASH, MSAADA JAMANI.