jamaa moja alionekana kwenye msiba analia sana akaulizwa vipi aliye kufa ni nani kwako? jamaa akajibu kaka w
a mke wa maiti ni mjomba wangu.je maiti ni nani kwake?
hahahahahahahahahaaaa!!!!!! Lazima comment yako iwe ya haja!
Maana hapo hajashiba,akishiba itakua balaa
Huyo jamaa nimesoma nae Minaki Sec. Hapo ndy amepunguza capacity ya ulaji.
Hahahaaa...hilo litakua bomu tumboni!!umeonaee! Lazima atuchanganyie kachumbari na uji halafu anashushia na chai ya rangi!