Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku nyongine wanakesha kbs... nifanyeje jamani... naomba ushauri. Niko dar.
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge
Na akishindwa yote hayo, basi akeshe anagegeda maana atakuwa hasikii kitu zaidi ya miguni migegedo yaomoja: cant u do some ass kicking ??
Pili: police post hupajui?
Tatu:kama hizo options mbili umeshindwa hama nyumba
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge
Swali zuri sana. Kwenye mazingira ya vyama vingi hawatakiwi kutambulika maana wae ni wa CCM. Cha ajabu ukienda serikali za mitaa kutaka barua ya utambulisho utasikia wanakwambia nenda kwa mjube akupe barua. Au hata wakati wa kujiandikisha kwenye kadi za kupigia kura, mjube alihusishwa, sasa sijui ni kwa nini...ivi mjumbe wa nyumba kumi yupo kisheria?
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku nyongine wanakesha kbs... nifanyeje jamani... naomba
ushauri. Niko dar.
Sheria zipo wazi nenda kwa mjumbe wanyumba kumi mueleze akishindwa nenda serekali ya mtaa wakishindwa nenda mahakama ya wilaya wakishindwa nenda mahakama kuu wakishindwa nenda ikulu wakishindwa nenda UN wakishindwa basi jinyonge
ivi mjumbe wa nyumba kumi yupo kisheria?