Aendelee na fani yake ya ujenzi.samahani wana jamii forums,
ndugu yangu amehitimu veta katika fan ya ujenzi level 3, sasa anaomba ushauri
Aendelee kutafuta deploma ama
aende kusomea vocational assistance teacher.
maoni yenu jamani 🙏
SafiAnze kujenga, nina kiwanja Dodoma natafuta fundi