khaleedi said
Member
- Jul 17, 2012
- 9
- 0
Jamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
kama computer yako ina Bluetooth then connect kwa Bluetooth....fungua Bluetooth za devices zako (simu na computer) then nenda kwenye Network in ur computer,create the connection btn them.....try this ukikwama uliza tuJamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
Mkuu hiyo process Mpaka awe na Nokia Pc suite bila hivyo hapati hiyo netkama computer yako ina Bluetooth then connect kwa Bluetooth....fungua Bluetooth za devices zako (simu na computer) then nenda kwenye Network in ur computer,create the connection btn them.....try this ukikwama uliza tu