Habari zenu wadau wa "JF"?, mimi kuna kitu kinanichanganya huenda nikawa sio mimi pekeangu make nimejaribu kuuliza baadhi ya watu na wengine tumekua tukibishana kabisa without solutin!. "Mm naomba kuuliza mwanzo wa wiki ni cku gani na mwisho wake!"
Kwani ukianza kuhesabu unaanza na ngapi?
Wiki huanza pale wiki iliyopita inapoishia...
Huanza siku gani na huisha siku gani sasa?
Ndo nahitaji maono/uelewa wako dada!, make ningelikua nafaham nisingeliulizia kwenu!