Jamani naomba mnieleweshe vizuri!!!

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
35
Habari zenu wadau wa "JF"?, mimi kuna kitu kinanichanganya huenda nikawa sio mimi pekeangu make nimejaribu kuuliza baadhi ya watu na wengine tumekua tukibishana kabisa without solutin!. "Mm naomba kuuliza mwanzo wa wiki ni cku gani na mwisho wake!"
 
Kwani ukianza kuhesabu unaanza na ngapi?
 
Huanza siku gani na huisha siku gani sasa?

Kawaida wiki ina siku saba na ukitaka kujua zimejipangaje anza na siku zenye namba kama j3.j3.j5.al hamisi itakuwa j6.ijumaa j7. Jmosi j1juma2 j2 utakuwa umeelewa zingine propaganda tu
 
Ndo nahitaji maono/uelewa wako dada!, make ningelikua nafaham nisingeliulizia kwenu!

Maono ya nini tena hapo jamani?? ina maana huelewi unaanza kuhesabu na ngapi? hivi unaweza kusema Jumatato ni siku ya kwanza ya wiki? .... acha ku complicate mambo banaaaaaa!
 
Ubish upo hapa kwenye hili na ukielewa vizuri haikupi shda,kwa wenzetu waislam kwakuwa ijumaa ni siku ya ibada mwanzo wa wiki kwao ni jumamosi,kwa wakristo wengi ukiondoa wayahudi mwanzo wa wiki ni jumatatu kwakuwa jumapili ni siku ya ibada,kwa wenzetu wayahudi mwanzo wa wiki ni jumapili kwa maana ibada yao hufanywa jumamosi,nafikiri hapo nimesaidia kuondoa utata!
 
No complication here dada!, basi naomba unipangie mpangilio wa siku ulivyo make hapo haujanisaidia kabisa!
 
Habari zenu wadau wa "JF"?, mimi kuna kitu kinanichanganya huenda nikawa sio mimi pekeangu make nimejaribu kuuliza baadhi ya watu na wengine tumekua tukibishana kabisa without solutin!. "Mm naomba kuuliza mwanzo wa wiki ni cku gani na mwisho wake!"

Sababu mmebishana ndiyo maana hukupata jibu lakini kama mngejadili lazima mngefikia muafaka.
 
Ndugu Oyono

Kuna utofauti mkubwa sana baina ya nchi na kanda mbalimbali za dunia hii katika kutambua mwanzo na mwisho wa wiki.

Kwa mfano ukiwa Saudi Arabia mwisho wa wiki(weekend) ni Alhamisi na Ijumaa, kwao Jumamosi ndiyo siku ya kwanza ya wiki. Katika Amerika ya Kaskazini kalenda zao huonyesha Jumapili ni siku ya kwanza ya wiki wakati katika Ulaya mara nyingi kalenda huonyesha Jumatatu ni siku ya kwanza ya wiki. Katika nchi ya Misri pale wao wiki huanzia siku ya Jumapili na Ijumaa na Jumamosi ndiyo mwisho wa wiki.

Soma zaidi hapa The Days of the Week
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom