Kama umefaulu poa na una nguvu za kusoma nenda advance maana chuo utapiga dip kisha utataka kusoma degree baadae inachosha fanya sasa ukiwa na nguvu piga advance kisha degree njoo kazini dip itakuzingua maana kwa sasa magraduate wa degree wako wengi so dip itapoteza maanaEti wadau Kati ya advance level na college kipi kina advantage kubwa coz form four graduates wengi sasa hivi wanahustle kuamua na mimi nikiwa mmoja wao
So naomba msaada wenu wadau