Jamani nalia bado na hizi smartphone

wakusoza

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
628
644
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi nikajibu " nini?" Hadi usiku sijarudi nyumbani.*


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom