flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,432
Mkuu ndio mana nimemwambia hela ya simu akainywee biaUdhaifu na njaaa sana hiyo mkuu

Wewe nae ushaambiwa kaka ake wemuite Shemeji tu Ahahaa mkuu umeshindwa kusoma Alama zanyakati woooi.Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake
Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu binti bila kumpa taarifa (yeye ni mwalimu hivyo anaishi nyumba za shuleni kwao) nilimkuta nje wapo na jamaa mmoja wanapiga story, nilivyofka kama alishtuka kidogo then akanikaribisha walipoketi kwa tabasamu huku akinitambulisha kwa jamaa kama kaka ake na amekuja kumtembelea, mm nilitambulishwa kama rafk tu na alimwambia ni jirani yetu so sikuona tatzo coz ni kweli hata kwao sijulikani, baada ya story kidogo mm nikawaacha
But last week niliibiwa simu pamoja na wallet yangu yenye vitambulisho so kutokana na kukosa vitambulisho zoezi la kurenew lilikuwa gumu kiasi ikabidi niazime simu yake kwa muda niendelee kutumia katika shughuli zangu
Nilipowasha data mida ya usiku message za whatsapp ziliingia kwa wingi na baadh niliweza kuzisoma kupitia notification bar ndipo nikaona message ya mapenzi toka kwa yule jamaa aliyemtambulisha ni kaka ake na kuangalia chat zao zaidi nikajiridhisha ni wapenz wa muda mrefu kabla hata ya mimi
Leo nimemtumia ujumbe nikamwambia "naona hukujiandaa au ulishindwa kujiandaa kabla ya kunipa simu" akashtuka akapiga nikamueleza hali ilivyo na niliyoyasoma kwenye chat zao
Cha ajabu mwenzangu amepanick na ameanza kutuma txt kuwa mimi sina shukrani kwa msaada wake pia nilikuwa namtafutia sababu ya kumwacha
Jamani wana Jf wenzangu naomba mnipe ushauri kama nimekosea maana sijafanya maamuzi yoyote zaidi ya kumwambia lakini tayari anaweweseka analia mara mm simu siitaki tena wakati mwanzoni alikuwa nimpe baada ya kurenew
Hujakosea lolote man. Narudia hujakosea.. jiamini tembea kifua mbele.Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake
Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu binti bila kumpa taarifa (yeye ni mwalimu hivyo anaishi nyumba za shuleni kwao) nilimkuta nje wapo na jamaa mmoja wanapiga story, nilivyofka kama alishtuka kidogo then akanikaribisha walipoketi kwa tabasamu huku akinitambulisha kwa jamaa kama kaka ake na amekuja kumtembelea, mm nilitambulishwa kama rafk tu na alimwambia ni jirani yetu so sikuona tatzo coz ni kweli hata kwao sijulikani, baada ya story kidogo mm nikawaacha
But last week niliibiwa simu pamoja na wallet yangu yenye vitambulisho so kutokana na kukosa vitambulisho zoezi la kurenew lilikuwa gumu kiasi ikabidi niazime simu yake kwa muda niendelee kutumia katika shughuli zangu
Nilipowasha data mida ya usiku message za whatsapp ziliingia kwa wingi na baadh niliweza kuzisoma kupitia notification bar ndipo nikaona message ya mapenzi toka kwa yule jamaa aliyemtambulisha ni kaka ake na kuangalia chat zao zaidi nikajiridhisha ni wapenz wa muda mrefu kabla hata ya mimi
Leo nimemtumia ujumbe nikamwambia "naona hukujiandaa au ulishindwa kujiandaa kabla ya kunipa simu" akashtuka akapiga nikamueleza hali ilivyo na niliyoyasoma kwenye chat zao
Cha ajabu mwenzangu amepanick na ameanza kutuma txt kuwa mimi sina shukrani kwa msaada wake pia nilikuwa namtafutia sababu ya kumwacha
Jamani wana Jf wenzangu naomba mnipe ushauri kama nimekosea maana sijafanya maamuzi yoyote zaidi ya kumwambia lakini tayari anaweweseka analia mara mm simu siitaki tena wakati mwanzoni alikuwa nimpe baada ya kurenew
CorrectUlipokosea ni kuamini kuwa kuna Distant learning kwenye mapenzi!!!
Hakuna hiyo k2 mkuu
Nzuri sana bageshi. Natumaini kila kitu kiko salama huko kwakoHahahaaa kaka habari za siku nyingi.
Nashukuru sana mkuu Detective J na mm nimepanga kumkazia mpaka akiri kosa lake coz naona anataka nigeuzia kesi mimiHujakosea lolote man. Narudia hujakosea.. jiamini tembea kifua mbele.
Message aliyokutumia ni kujarib kufunika ujinga wake uliokuta.
Ndio maana, anaonyesha kutokujutia, anaonyesha kuto kujali, maana hata msamaha hajaomba.
Sasa ww fanya hiv mwambie sio suala la shukran, mwambie umemjua upumbav wake. Halaf kula bunda... kaa kimya.
Kinachomuangaisha ni ile hali umejua madudu yake, anajarib kukuchanganya na ww. Shikilia msimamo wako
Kazi kwakoHapa namsubiri avute tu
imekuaje Leo umeanza kufukua makaburi?!😂