Jamani nakosea wapi?

Jamani nakosea wapi?

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,764
Reaction score
3,513
Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake.

Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu binti bila kumpa taarifa (yeye ni mwalimu hivyo anaishi nyumba za shuleni kwao) nilimkuta nje wapo na jamaa mmoja wanapiga story, nilivyofka kama alishtuka kidogo then akanikaribisha walipoketi kwa tabasamu huku akinitambulisha kwa jamaa kama kaka ake na amekuja kumtembelea,

Mimi nilitambulishwa kama rafk tu na alimwambia ni jirani yetu so sikuona tatzo coz ni kweli hata kwao sijulikani, baada ya story kidogo mm nikawaacha.

But last week niliibiwa simu pamoja na wallet yangu yenye vitambulisho so kutokana na kukosa vitambulisho zoezi la kurenew lilikuwa gumu kiasi ikabidi niazime simu yake kwa muda niendelee kutumia katika shughuli zangu.

Nilipowasha data mida ya usiku message za whatsapp ziliingia kwa wingi na baadh niliweza kuzisoma kupitia notification bar ndipo nikaona message ya mapenzi toka kwa yule jamaa aliyemtambulisha ni kaka ake na kuangalia chat zao zaidi nikajiridhisha ni wapenz wa muda mrefu kabla hata ya mimi.

Leo nimemtumia ujumbe nikamwambia "naona hukujiandaa au ulishindwa kujiandaa kabla ya kunipa simu" akashtuka akapiga nikamueleza hali ilivyo na niliyoyasoma kwenye chat zao.

Cha ajabu mwenzangu amepanick na ameanza kutuma txt kuwa mimi sina shukrani kwa msaada wake pia nilikuwa namtafutia sababu ya kumwacha.

Jamani wana Jf wenzangu naomba mnipe ushauri kama nimekosea maana sijafanya maamuzi yoyote zaidi ya kumwambia lakini tayari anaweweseka analia mara mm simu siitaki tena wakati mwanzoni alikuwa nimpe baada ya kurenew
 
Ww unataka kuchukua maamuzi gani kwani?
Inavyoonekana amedata kwa demu na asipojiangalia yeye ndo ataishia kuomba msamaha.

Unamkuta demu wako na njemba. Halafu unatambulishwa kuwa ni braza. Sijui rafiki au binamu. Palepale inabidi ujiongeze kwa sababu mara nyingi huyo ni mume mwenzio na anaweza kuwa ndo main bae we kumbe kitawi tu cha kujishikiza...Kama alivyotuasa Mkwere "akili za kuambiwa......"
 
Piga teke huyo tambaa mbele, naona ameshaanza kukusahalisha kama amekosea na anataka kukupotezea kwa kuleta mada zingine ambazo hazihusiani na hapo
 
Inavyoonekana amedata kwa demu na asipojiangalia yeye ndo ataishia kuomba msamaha.

Unamkuta demu wako na njemba. Halafu unatambulishwa kuwa ni braza. Sijui rafiki au binamu. Palepale inabidi ujiongeze kwa sababu mara nyingi huyo ni mume mwenzio na anaweza kuwa ndo main bae we kumbe kitawi tu cha kujishikiza...Kama alivyotuasa Mkwere "akili za kuambiwa......"

Halafu ww ndio unaondoka unamuacha jamaa na demu


Mwanamke mwenye urafiki na wanaume wengine mpk kuwatambulisha kwa mpenzi wake ni hatari sn au mwanamke anayependa ku-flirt na wanaume nae hafai
 
Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake
Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu binti bila kumpa taarifa (yeye ni mwalimu hivyo anaishi nyumba za shuleni kwao) nilimkuta nje wapo na jamaa mmoja wanapiga story, nilivyofka kama alishtuka kidogo then akanikaribisha walipoketi kwa tabasamu huku akinitambulisha kwa jamaa kama kaka ake na amekuja kumtembelea, mm nilitambulishwa kama rafk tu na alimwambia ni jirani yetu so sikuona tatzo coz ni kweli hata kwao sijulikani, baada ya story kidogo mm nikawaacha
But last week niliibiwa simu pamoja na wallet yangu yenye vitambulisho so kutokana na kukosa vitambulisho zoezi la kurenew lilikuwa gumu kiasi ikabidi niazime simu yake kwa muda niendelee kutumia katika shughuli zangu
Nilipowasha data mida ya usiku message za whatsapp ziliingia kwa wingi na baadh niliweza kuzisoma kupitia notification bar ndipo nikaona message ya mapenzi toka kwa yule jamaa aliyemtambulisha ni kaka ake na kuangalia chat zao zaidi nikajiridhisha ni wapenz wa muda mrefu kabla hata ya mimi
Leo nimemtumia ujumbe nikamwambia "naona hukujiandaa au ulishindwa kujiandaa kabla ya kunipa simu" akashtuka akapiga nikamueleza hali ilivyo na niliyoyasoma kwenye chat zao
Cha ajabu mwenzangu amepanick na ameanza kutuma txt kuwa mimi sina shukrani kwa msaada wake pia nilikuwa namtafutia sababu ya kumwacha
Jamani wana Jf wenzangu naomba mnipe ushauri kama nimekosea maana sijafanya maamuzi yoyote zaidi ya kumwambia lakini tayari anaweweseka analia mara mm simu siitaki tena wakati mwanzoni alikuwa nimpe baada ya kurenew

Ulipokosea ni kuamini kuwa kuna Distant learning kwenye mapenzi!!!
Hakuna hiyo k2 mkuu
 
Pumbavu ww hujui kosa lako!?.kosa lako ni kutumia simu yake we km mwanaume shabab ulitakiwa hapo hapo ununue simu nyingine japo ya elfu 10 ila yako then uendelee na mambo yako kama kawa kenge ww
 
Pumbavu ww hujui kosa lako!?.kosa lako ni kutumia simu yake we km mwanaume shabab ulitakiwa hapo hapo ununue simu nyingine japo ya elfu 10 ila yako then uendelee na mambo yako kama kawa kenge ww
Tatzo kutumia simu yake..! Sasa huyo mwanamks uliwezajs kuwasiliana nae tena akati ulichukua simu yake???
 
Kama uliyo yaelezea hapa ni ukweli.... ebu naomba nisikushauri kwa lolote mkuu, kwasababu kupanga ni kuchagua na neno pekee ninalo weza nikalisema hapa ni..... mwanaume ni kiumbe kinacho zidi kutoweka kwa kasi ya ajabu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom