Jamani nakosea wapi?

Jamani nakosea wapi?

Unapokosea ni kuendelea kutumia simu ya watu mpka sasa hv fanya urudshe kwa mwenyewe
 
Wanaume wengine hovyo kabsa kitu kidogo tuu unahitaji ushauli siku ukipata mkasa kama niliyopata mm si utajinyonga kabsaa jifunze kuwa mwanaume kamili
 
Wanaume wengine hovyo kabsa kitu kidogo tuu unahitaji ushauli siku ukipata mkasa kama niliyopata mm si utajinyonga kabsaa jifunze kuwa mwanaume kamili
Mkada gani huo mkuu???
 
Nashukuru Mungu kuzaliwa Kanda ya ziwa !!

Sisi wanaume wa Kanda ya Ziwa , Hatupendi ujinga. Tunajiamin. Ukizengua makofi. Na unaomba msamaha haijalishi wee dem ni mzur vipi sijui unakaz sijui umewah nisaidia.

Ni makofi, kukaliwa kimya. Uombe msamaha.

Nakutabiria....Huyo demu utajikuta umemwomba msamaha. Au utajifanya kuyamaliza kimyakimya...NAHUO NDIO UTAKUA MWANZO WA KUTOMBEWA MWANAMKE DAILY NA WAZI ..

Tena hawa Walimu walivyo na Maisha magumu. Ataliwa tuu sana
 
Kwa mambo hayo bado unataka ushaur kweli??
Nina waswas huenda una uwezo mdogo wa kutatua changamoto zako pasipo ushaur wa watu...
Ushaona kila kitu half unauliza ushauri?
In fact n bora kuvunja uchumba kulko kuja kuvunja ndoa baadae
 
Inavyoonekana amedata kwa demu na asipojiangalia yeye ndo ataishia kuomba msamaha.

Unamkuta demu wako na njemba. Halafu unatambulishwa kuwa ni braza. Sijui rafiki au binamu. Palepale inabidi ujiongeze kwa sababu mara nyingi huyo ni mume mwenzio na anaweza kuwa ndo main bae we kumbe kitawi tu cha kujishikiza...Kama alivyotuasa Mkwere "akili za kuambiwa......"
mkuu kweli nimeliona hilo nimekuwa kama tawi tu la kujishikiza kwa muda jamaa ndio main chick
 
Huna chako mzee mjomba. Wakitoka wanakwaya wanafata walimu kwa kutotulia kimapenzi
Mkuu haya maneno naona kama yana ukweli Fulani japo kwangu mchungu
 
Sijawahi kuona mwanamke mzembe kama huyo, alijisahau ama...
 
Una miaka mingapi? Maana naweza andika mazito usiyoweza kustahimili.
 
Sijawahi kuona mwanamke mzembe kama huyo, alijisahau ama...
itakuwa alijisahau dada Khantwe yaani amenivunja nguvu sana wanawake sio wa kuwadhamini
 
Mapenzi yanakanuni mbili tu na unatakiwa kushika moja kati ya hizo. 1) ukitaka kuishi kwafuraha usithubutu kumfuatikia mapenzi wako. Yuko na nani mwingine, anafanya nini kwa siri n.k. Mradi wewe unapata share yako, ridhika. 2) Fuatilia kila hatua ya mpenzi wako lakini kuwatayari kukosa furaha na amani.
 
Kama uliyo yaelezea hapa ni ukweli.... ebu naomba nisikushauri kwa lolote mkuu, kwasababu kupanga ni kuchagua na neno pekee ninalo weza nikalisema hapa ni..... mwanaume ni kiumbe kinacho zidi kutoweka kwa kasi ya ajabu hapa duniani.
Inasikitisha
 
Mapenzi yanakanuni mbili tu na unatakiwa kushika moja kati ya hizo. 1) ukitaka kuishi kwafuraha usithubutu kumfuatikia mapenzi wako. Yuko na nani mwingine, anafanya nini kwa siri n.k. Mradi wewe unapata share yako, ridhika. 2) Fuatilia kila hatua ya mpenzi wako lakini kuwatayari kukosa furaha na amani.
Nilikuwa simfuatilii kabisa na nilikuwa naishi poa tu tatzo ni message nilivyoziona nikashindwa kuwa kimya
 
Nigga niuzie hiyo simu. Yeye si haitaki tena
 
Kwa mambo hayo bado unataka ushaur kweli??
Nina waswas huenda una uwezo mdogo wa kutatua changamoto zako pasipo ushaur wa watu...
Ushaona kila kitu half unauliza ushauri?
In fact n bora kuvunja uchumba kulko kuja kuvunja ndoa baadae
Nashukuru mkuu
 
Wanaume wengine hovyo kabsa kitu kidogo tuu unahitaji ushauli siku ukipata mkasa kama niliyopata mm si utajinyonga kabsaa jifunze kuwa mwanaume kamili
We ulipata mkasa gani
 
Back
Top Bottom