Jamani nakosea wapi?

Jamani nakosea wapi?

Teenage love affair.. Sijui lakini! Hapa wewe ndio muamuzi wa mwisho, kusuka ama kunyoa, kulia lia kwake hiyo ni defence mechanism tu, kama hujui kusoma hata picha huoni?
 
Kama uliyo yaelezea hapa ni ukweli.... ebu naomba nisikushauri kwa lolote mkuu, kwasababu kupanga ni kuchagua na neno pekee ninalo weza nikalisema hapa ni..... mwanaume ni kiumbe kinacho zidi kutoweka kwa kasi ya ajabu hapa duniani.
Braza jambo kama hilo mtu anaomba ushauri
 
Umemkuta kwake na kidume ukatambulishwa kuwa wewe ni kaka ukaona poa tu. Sasa umekuta msg za jamaa unataka ushauriwe nini? Au umesahau wewe ni kaka yake?
 
Braza jambo kama hilo mtu anaomba ushauri
Inasikitisha sana chief......
Mambo kama hizi, mwanaume anapaswa achukue hatua na baada ya kukinukisha lazima patakua na sagga.
Sasa hilo sagga likinuka, hapo ndipo mleta mada angepaswa akuje hapa kuomba ushauri.
 
Mzee baba huyo manzi usimuache...fanya uwe mchepuko umchapie huyo jamaa wa kwanza..

Kwenye kila situation ukiichukuloa +ve unakuwa mshindi kila siku.
 
Mzee baba huyo manzi usimuache...fanya uwe mchepuko umchapie huyo jamaa wa kwanza..

Kwenye kila situation ukiichukuloa +ve unakuwa mshindi kila siku.
Yaan kweli mm hapa nipo kama mchepuko namchapia jamaa
 
Halafu ww ndio unaondoka unamuacha jamaa na demu

Mwanamke mwenye urafiki na wanaume wengine mpk kuwatambulisha kwa mpenzi wake ni hatari sn au mwanamke anayependa ku-flirt na wanaume nae hafai
Nilimuacha nikijua ni kaka ake
 
Dunia inaenda kasi mno, zamani walimu wa kike walikuwa wanaheshimika sana kwa uvumilivu, uaminifu na kutokuwa na tamaa kwenye mapenzi...siku hizi walimu wa kike (sio wote) wamekuwa malaya namba moja
 
Dunia inaenda kasi mno, zamani walimu wa kike walikuwa wanaheshimika sana kwa uvumilivu, uaminifu na kutokuwa na tamaa kwenye mapenzi...siku hizi walimu wa kike (sio wote) wamekuwa malaya namba moja
Sana mkuu walimu sio wa kuwaamini hata kidogo
 
Ndugu WhatsApp namba ni ya kwake, ww uangalie na kusoma inakuhusu nini mpaka unaanza kufungua Internet.

Sasa nenda kaomba msamaah lakini tambua unaibiwa hapo.

Mapenzi ni hatari sana
 
Back
Top Bottom