Jamani naenda kufumania

usiende! ulikosea kumuoa, kupeleleza nyendo zake baada ya ndoa na sasa unataka kukosea kwenda kumfumania!
 
Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
Ahhahaha kuna jamaa alileta post hapa eti anaoa mwezi ujao mi nkamwambia anakimbilia msalaba wa chuma afu una moto...akawa anabisha ahahahha ngoja nimpelekee hii link..
 
Tafuta dawa ya mnato,kiwatokee kama kilichowatokea kule kenya....sasa hapo ndio utafumania vizuri....hata ngumi hataweza kurusha.usisahau na global publishers wakupe back up.
 
CHAGIO A. safari njema, mtu wangu. we pakia mapanga, bastola, bisu nenda kibaunza, kama unaogopa pigilia konyagi ukiweza hata bangi. CHAGUO B. MWOMBEE, CHAGUO C. MTAFUTE KWA WAKATI MWAFAKA ONGEA NAE, KWA HIZI NZURI NA HEKIMA.
 
Mkuu kitu chenye ncha kali tena,,,,
Nimecheka saaana
Ndio, sasa kwa mtu kama Mmasai ni kesi rahisi, kwa sababu wao hutembea wamefunga vitu vyenye ncha kali kiunoni muda wote, kwa hiyo atasema nilipomfuma jamaa anamuwowa mke wangu hapo hapo nikamshambulia adui bila ya kufikiria mara mbili. Lakini kama wewe una ustaarabu wa kufunga tai na handkerchief mkononi hakimu anaweza kukuuliza ulipata wapi kitu chenye ncha kali siku hiyo? Kama ni siku hiyo hiyo ndio uliamua kubeba silaha za jadi wakati si jadi yako ina maana ulipanga kwenda kuua, defense hakuna.

Na kama uliondoka eneo la tukio ukenda kutafuta vitu vyenye ncha kali ina maana ulikuwa na muda wa kupoa lakini ukaendeleza hasira, murder charge ina stick.

Right, ndo maana nilimwambia awe gado, yani kama ni hivyo vitu vyenye ncha kali lazima awe amejiandaa navyo kabisa.
 
Muda mzuri wa kufumania ni saa ngapi?..na siku gani ya week?

mara nyingi ni uck siku za wk end, si uwatumie hao watu wako wakupe details ili ujue yuko wapi na huyo jamaa yake kisirisir ili uwe na uhakika mana unaweza kwnd na hiyo siku ukamkuta peke yake...fumanizi sio kitu rahisi hivyo..ila km unaweza zuia hasira ndio ufanye hiyo fumanizi lkn km huwezi zuia hasira bora usiende mana utafia jela bure
 

unangoja nn? go go go go!!!!
 
masihara mengine yanachefua ..! Mungu amemfunilia uchafu wa mkewe mapema ili asepe! Aende ahakikishe ili kuwa na ushahidi tu !
 
kuna siku nilisema ukioa mwanamke hajaenda shule...mwachie hapo hapo..ukijidai wampeleka chuo utakufa kwa pressure bure..cha msingi usiende mtumie hizo picha na bag lake la nguo kabisa akitoka huko apitilize kwao..
 
Mbona hutupi mrejesho Mkuu?
Siku 10 na zaidi zimepita tangu utueleze unaenda kufumania..
Lete yaliyojiri bana.!
 
kwa hiyo umeshamfumania au bado wanagegedana
 
Ila na nyie wakuu, mnaanzaje kumsomesha mke/mchumba? Huko lazma waruke ruke tu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…