Jamani naenda kufumania

mbaya zaidi ukutew anawezeshwa biasara wakati hat siku moja hujafikiria sijui utalia au utatoka jasho tuu , kazi kwako kama huna nauli njoo uchukue kwangu
 
waweza nikodi kusaidia fumanizi na kupigana malipo kidogo tu laki tano tukifanikiwa kutoka bila kupigwa, na milioni moja tukipigwa
 
kama umeamua kumuacha muache usijitafutie maumivu ya moyo bure,
 
Kumbe unasubiri nini kumkabidhi talaka,huhitaji kufumania we anza mbele kwa mbele haisaidii ndo maana mi wangu la saba,hakuchakachuliwa kwa sana,digree nyingi huacha baadhi wakiwa kama chuma chakavu(sio wote)
Yes am sure. Koz tayari nimemchoka. Hatuna amani zaidi ya mwaka na nusu sasa. Ni makelele tu
 
Ukimegewa demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee .haipunguzi maumivu ila inarudsha hadhi ya kiume_fa
 
Mkuu, unahuhakika gani kama huyu shemeji yetu nae sio member humu jamvini? Kumbuka JF ndio sosi of informantion kwa watu wote makini, hi kitu huenda ameisha isoma na kujoin the dot and then atachana nae huyu prof kwa muda hence utaishia kugombana na rafiki zako na hata huyo mwanamke.
 
hii ni dili! kumbe mitaa ya mbagala yupo gwiji mtibabu,mtege atakemgusa tu vidagaa vinamtoka ktk mgegedo atapiga kelele kukutafuta,kazi yako unafika bei weka 3m au 4m au 5m simple!then unafukuza takataka hiyo
 

umeshawafumania...?
 
Nakushauri, google namna nzuri ya kufumania na solution nzuri baada ya hapo. Kwa kuanzia nakushauri check episodes za Cheaters. Kuna kipindi kinaitwa Cheaters baadhi ya events wameziweka mtandaoni. Kitausaidia sana
 
Niko Nkasi-Rukwa, nikuletee tego la Kobe? Hiili naskia ni zuri balsa maana wakishanasana ili waachiane ni lazima atafutwe Kobe halafu huyo mgoni Wako amkate kichwa. Akishindwa watabaki hivyo hivyo
 
Ni kweli nenda ndg yangu kamuumbue na zaidi huyo Mhadhiri mpige picha au ita watu na upeleke malalamiko hayo ofisini kwake maana watu wanazidi, ukute hata mke wa huyo mhadhiri kwake ni shida tupu, nenda na waandishi wa habari kabisa wa uhakika na reporters wa radio ili hao waache kabisa tabia ya uzinzi!
 

Mkuu kitu chenye ncha kali tena,,,,
Nimecheka saaana
 

Usithubutu kufanya uchunguzi wa jambo amabalo matokeo yake huwezi kuyafanyia maamuzi... Ukabaki kumuachia MUNGU tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…