Jamani na hili je!

Dr anold

Member
Oct 4, 2011
19
0
Hivi ni kwa nini akina dada na mama ndo wanalalamika hasa kuhusu kusalitiwa, lakini wao hawajioni. Mi nshafanya uchunguzi utakuta boy akikutana na dem hata km hamjui anahapa kuwa atampata na kweli baada ya mda anakula na anasepa na unakuta si mmoja. J e hao wanakuwa awana mabwana au!,? Na hasa akina dada wanao kaa mbali na wapenzi wao ndo balaa.

Je hiyo imekaaje jamani,?
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
19,474
24,886
hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!
long distance relationship ni uongo mtupu hapo! wala asikudangenye mtu eti they work hamna lolote kudanganyana tuu!!!!
 
Dr anold

Member
Oct 4, 2011
19
0
hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!
long distance relationship ni uongo mtupu hapo! wala asikudangenye mtu eti they work hamna lolote kudanganyana tuu!!!!

Hapo umesema ndugu! make madem wamezidi kulaumu juu yetu, mi cijawai kurtongoza dem akakataa inamaana waho hao hawana mabwana? wakome kututeta siye.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
Hii ishu ya kusaliti wapenzi ipo kwa jinsia zote mbili. Ila huenda kuna kitu kinachosababisha wanaume ndio waonekane zaidi ya wanawake.
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!
long distance relationship ni uongo mtupu hapo! wala asikudangenye mtu eti they work hamna lolote kudanganyana tuu!!!!
Tuombe msamaha kwa kusema kitu usicho kijua. Long distance relation ni kama relation ingine yote. kuna matapeli na kuna waaminifu. Mi nazijua nyingi ziko sawa kabisa, kama ninavo zijua zisizo kwa hivo nadhani sio sawa kugeneralize situation ya watu kadhaa. bora hata ungesema most of relation unazo zijua wewe, lakini usisemi long distance ni uongo!
 
MADAM T

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,039
2,203
hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!
long distance relationship ni uongo mtupu hapo! wala asikudangenye mtu eti they work hamna lolote kudanganyana tuu!!!!

Mzbzb kweli wewe huna habari, ina maana Vukani alivyosema naweza kusalitiwa huku naona kwa macho ulikuwa wapi? Distance usiongelee....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom