Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 375
- 738
Unatokea kikosi namba ngapi! ?Habari zenu ndugu,,,, wakubwa shkamooni!!!!!!
Mim mtanzania mwenzenu naombeni ukaribisho wenu nimeamua kujiunga na jamiiforums.
97Unatokea kikosi namba ngapi! ?
Thank youUr are welcome Jf !
asante kwa kuja na karibu sana jukwaani 🐒Habari zenu ndugu,,,, wakubwa shkamooni!!!!!!
Mim mtanzania mwenzenu naombeni ukaribisho wenu nimeamua kujiunga na jamiiforums.
Ni kombe la Dunia mkuuKapicha kako kanamaanisha nini
Tafadhali msiwateke watz wenzenu, mkibainika mtauawa.
Hakikisha umelipa ada ya kiingilio kwa jfpesaNi kombe la Dunia mkuu