Jamani mwenye ushahidi anisaidie hili

Jamani mwenye ushahidi anisaidie hili

Jamani,eti nzi wa kijani(yule wa chooni) ni mwanachama wa chama kimoja fulani cha siasa maarufu hapa nchini?
Kiuhalisia inzi hawezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa ila kutokana na rangi yake ya kijani huwa wanaitwa ccm ...!mwenye tindikali yake aje namsubiri
 
:smile-big:cc..............:ballchain:
 
Mm yangu macho 2.hamjui kilaki2 kwenye mtandao kinapitiwa na wakubwa na kufanyiwa kazi?
 
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

Near by Sumbawanga Road, Tunduma Mbeya Tanzania.
 
Back
Top Bottom