Jamani mwanye taarifa kuhusu interview za tra atujuze

Jamani mwanye taarifa kuhusu interview za tra atujuze

BILAURI Jr

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
49
Reaction score
8
Kumekuwa na uvumi ya kuwa eti interview kwa post tatu ambazo deadline ilikuwa tarehe 18/09/2013 zimeshaaza tangu tarehe 04/11/2013, naomba ufafanuzi juu ya taarifa hii na wametumia vigezo gani hata wasimuite hata mmoja kutoka MZUMBE UNIVERSITY?
nawatakia kila la kheri...
 
Kumekuwa na uvumi ya
kuwa eti interview kwa post tatu ambazo deadline ilikuwa tarehe
18/09/2013 zimeshaaza tangu tarehe 04/11/2013, naomba ufafanuzi juu ya
taarifa hii na wametumia vigezo gani hata wasimuite hata mmoja kutoka
MZUMBE UNIVERSITY?
nawatakia kila la kheri...

mkubwa bado hata mm niliomba, interview inayofanyika ni ya applications ya mwezi april/may, good luck!
 
daaah nilitaka kushangaa yaani hata written interview tusiwemo
nway lets wait, ahsante mdau.
 
Back
Top Bottom