Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,552
- 62,993
ha ha ha ha haipatikani,na hii baridi ndio shida kabisaHahahaaaa pole aisee
Fanya kumrushia muamala
Mwambie nyingine azifate ulipo
Asante mkuu,ndio ubaharia mkuuPole sana mkuu
Ni kweli mkuuHuwezi jua jambo ambalo ume epushwa nalo huenda ni kubwa kuliko hata hiyo hela uliyomtumia
Njoo unipoze mkuuKwa siku huwa unaanzisha thread ngapi?
Nauli yenyewe katuma 7000 na mia 8 ya kutoleaHuwezi jua jambo ambalo ume epushwa nalo huenda ni kubwa kuliko hata hiyo hela uliyomtumia
ha ha ha haNauli yenyewe katuma 7000 na mia 8 ya kutolea
Nipo hapa mji wa jirani nimeamua kuja kubadilisha hali ya hewa,nikasema nitafute mtoto mzuri wa kuniweka bize kidogo ili niweze kupunguza msongo wa mawazo wa kidunia.Mtoto akaomba nimtumie garama za kumleta.......nimemtumia, tangu asubuhi mpaka sasa hivi...nipo tu mwenyewe sijielewi.Nikipiga simu,haipatikani.....hapa nilipo moyo uko tayari kuachana na mwili.Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli.
Asante mkuu itabidi nifanye hivyoSwitch To Badoo chap
Muwe mnauliza. Siku hizi kuna wanaume wapumbavu wengi wanafungua acc kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia majina ya kike.Nipo hapa mji wa jirani nimeamua kuja kubadilisha hali ya hewa,nikasema nitafute mtoto mzuri wa kuniweka bize kidogo ili niweze kupunguza msongo wa mawazo wa kidunia.Mtoto akaomba nimtumie garama za kumleta.......nimemtumia, tangu asubuhi mpaka sasa hivi...nipo tu mwenyewe sijielewi.Nikipiga simu,haipatikani.....hapa nilipo moyo uko tayari kuachana na mwili.Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli.
ha ha ha ha ndio tatizo la waswahiliUngefanya vizuri kama ungeondoks nae toka huko ulikotoka mkasafiri wote.
Pole kwa kuzimiwa simu, jikaze labda kesho atakuja.
Nilishawahi kutoka naye huko nyumaMuwe mnauliza. Siku hizi kuna wanaume wapumbavu wengi wanafungua acc kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia majina ya kike.
Uki chat nao dakika mbili tatu washaomba hela ya vocha, bili ya umeme , bili ya dawasco na luku na maujinga mengine kibao.
Wanaume wenye tabia hiyo ya kithenge mnazingua kichizi.
Muwe mnauliza. Siku hizi kuna wanaume wapumbavu wengi wanafungua acc kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia majina ya kike.
Uki chat nao dakika mbili tatu washaomba hela ya vocha, bili ya umeme , bili ya dawasco na luku na maujinga mengine kibao.
Wanaume wenye tabia hiyo ya kithenge mnazingua kichizi.
ha ha ha ha tatizo ni hawa wa chuoKuna Mmoja nilimuambia tuma namba ya Luku nikununulie umeme. Alinisonyaaaaaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Akaniita Dume Suruali
ha ha ha ha tatizo ni hawa wa chuo