Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Sasa hii ndio nini kama sio kujiaibisha?
Kuna Tatizo Gani Hapo? Si Anamuelekeza Tu Mpiga Picha Kuwa Ampige Picha Hicho Kidole Chake Kwani Kinauma. Lakini Pia Usiahau Kuwa Kuna Baadhi Ya Mataifa Mengine Hiyo Ishara Inamaanisha " Poa " au " Sawa " Kama Ambavyo Sisi Huku Unyamwezini ( Tanzania ) Ukinyoosha Kidole Gumba Unamaanisha Kuwa Mambo Ni Bien ( Safi ). Na Napata Hisia Kuwa Hiyo Picha Itakuwa Ni Ya Watu Wa West Africa Ambao Kwao Wao Alama Hiyo Ya Kidole Inamaanisha Jambo Zuri Na Jema. Na Usishangae Hapo Alikuwa Anamwambia Mama Mkwe Wake Kuwa " Mambo! ".

Mh!with that facial expression??nah!
Bi harusi ana mimba huyu...
![]()