Jamani Mume wangu Ananiogopa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by awp, Oct 30, 2012.

 1. awp

  awp JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Habari wana jf,
  Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
  pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,475
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  Punguza ku-dominate/ control game, je mmepima ukimwi? yawezekana akiona apple yako anakumbuka machungu ya yule aliyekuwa naye mwanzo - talk to him!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Angekuwa anakuogopa basi hata mtu mzima asingekuwa anasimama wakati wa chakula cha usiku,inawezekana kuna tatizo kati yenu na kila mwenzako akilifikiria basi hupoteza hamu ya tendo,kaeni mzungumze kwa kina kuhusu suala hilo na toa kabisa dhana ya kwamba yeye anakuogopa na hapo mtaweza kumaliza tatizo.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Aisee!
  Ndoa zina majaribu!

  Labda mtoto wa kike unakuwa mkavu, mimacho kodo!
  Jirekebishe.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ddk 20 mbona nyingi sana?
  unataka kumuua mwenzio?
   
 6. J

  John W. Mlacha Verified User

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  ahha eti mimacho kodo..kula hata kungu mtoto wa kike
   
 7. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakupend huyo hana mzuka na wewe anakuzuga......jarb kumchunguza vizur uckurupuke
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,475
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  Maelezo yake yanaonesha hawajafunga ndoa hao!
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mpe 0713 labda atazinduka.
   
 11. awp

  awp JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sio Nime - Tumepima kabla hatuaanza kula namshukuru Mungu tupo fit
   
 12. ram

  ram JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,952
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Dah! PakaJimmy, taratibu jamani!

   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Anakupotezea umri wako huyo. Hajiamini kwa kuwa performance iko chini
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,776
  Likes Received: 1,504
  Trophy Points: 280
  he!na wanaume nao huwa wanaona aibu ! Mtambuzi kuja kipande hii utufanyie utafiti kisha utuletee maelezo kamili tena ako na mashiko ya kitakwimu kabisa!
  BACK TO THE TOPIC
  bidada inaelekea uko uso wa mbuzi yani full kukausha eneo la facial ekspreshen hebu lainika kidogo ujue wanaume hawapendi vyama vya upinzani kunako eneo la tukio!ukiwa submissive like vile ye ndo kinara na maujanja unamapa nafasi ayaoneshe inakuwa poa!
  kwa aina ya hii mwanamume we anatakiwa kuwa mpole ile full kula kucha na nini kandanda likikolea unapiga tick tack!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,952
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  We Smile,dk 20 ni nyingi?

   
 16. awp

  awp JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  khaaa sana sasa hapo mtakuwa mnafanya nini?
  wewe ngapi game lako?
   
 18. awp

  awp JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  PakaJimmy, kwakweli ninatabia ya kumkazia mme macho, huwa narembua kunako sita kwa sita tuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh_mwanaume anaogopa..?.....hebu muulize anaogopa nini?...ila hii ni mpya.
   
 20. awp

  awp JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mmmm Smile dakika 20 sio nyingi, ukianzia na romance then umalize huwa natoka bila mara nyingi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...