Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu

Ha ha ha ha kosa la kwanza ambalo hata Mungu kakataza,"mwanaume atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe"

Haikusemwa "mwanamke atawaacha wazazi wake na ataambatana na mumewe"

Hapo kuna tatizo kubwa sana na msipoliweka sawa hapo hakuna mahusiano yaliyo bora,pia inawezekana hata katika maamuzi ya familia unayafanya wewe kwa kuwa upo kwako,angalia maongezi yako ukiwa na marafiki,ndugu unampa nafasi gani?Hapo watakiwa kutafuta suluhisho la jumla na si la wakati wa chakula cha usiku pekee.
 
Kaka jogoolakigoma nilijaribu kumsukumia huko akabaki kucheka tuu, kila ninapojaribu kumwuliza unataka nikufanyie nini hajibu anacheka tuu. nitajaribu tena leo, nipo serious!
Tobaaaaa! We mkare tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Bi mkubwa ngoja nikupe siri ya wanaume,

Cha kwanza ni kwamba uwezo wote wa kufurukuta kwenye majamboz kwa wanaume huwa kichwani na sio kwenye suruali, hii ndio maana hujawahi sikia mwanaume amebakwa kwasababu kama kubakwa ni kitendo cha kulazimishwa bila hiyari basi mwanaume kamwe hawezi kubakwa. Sasa hebu turudi kwenye kesi yako na huyo mtu mzima mwenzio.

Kawaida wanaume huwa tunaji rank kwa wanawake wa namna gani tunaweza kutoka nao. Sasa ikitokea ukatoka na mwanamke ambaye kwa mujibu ya halmashauri ya kichwa chako is way beyond your expectations ndio kutokujiamini huwa kunatokea. Sasa inawezekana kabisa hilo ndilo likawa tatizo la huyo mwenzio. Pili, kutokujiamini kwake kunamfanya ahisi huenda muda wowote unaweza ukamtosa kwahiyo ndio maana unapobadilisha style yeye kwisha habari yake coz akili yake humtuma kwamba huenda hajakuridhisha na hiyo huamsha mfadhaiko ambao ni sumu kwa uwezo wa mwanaume ku perform.

Sasa kwa ushauri wangu mimi ni kwamba, endelea kumvumilia kwenye kipindi hiki kwasababu baada ya muda atagundua kwamba uko tayari kuwa naye kwa mapungufu yake na naamini atarudi kuwa normal na huenda akaenda even boyond 20mins unazozitaka wewe.
 
Huenda wewe ume/na - dominate kila kitu kuanzia maandalizi ya uwanja, mechi, ufadhili ikiwa ni pamoja na mkate wake wa kila siku - kwa maana kwamba pesa ya kubadili mboga unayo na huna haja na yake, wewe unachohitaji kwake ni ajitume na kunako 6x6 na kukupa raha mtoto wa kike. Katika maisha kama hayo na hasa kama unamzidi umri lazima conf. inamshuka. Likini kama ndio umekufa na kuoza unasubiri kuzikwa, inabidi ubadili kazi na kuwa Mshauri Nasaha wake ili aweze kujiamini.
 
Kaka jogoolakigoma nilijaribu kumsukumia huko akabaki kucheka tuu, kila ninapojaribu kumwuliza unataka nikufanyie nini hajibu anacheka tuu. nitajaribu tena leo, nipo serious!

Khah....,,
 
Last edited by a moderator:
Huenda wewe ume/na - dominate kila kitu kuanzia maandalizi ya uwanja, mechi, ufadhili ikiwa ni pamoja na mkate wake wa kila siku - kwa maana kwamba pesa ya kubadili mboga unayo na huna haja na yake, wewe unachohitaji kwake ni ajitume na kunako 6x6 na kukupa raha mtoto wa kike. Katika maisha kama hayo na hasa kama unamzidi umri lazima conf. inamshuka. Likini kama ndio umekufa na kuoza unasubiri kuzikwa, inabidi ubadili kazi na kuwa Mshauri Nasaha wake ili aweze kujiamini.
Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa
 
Bi mkubwa ngoja nikupe siri ya wanaume,

Cha kwanza ni kwamba uwezo wote wa kufurukuta kwenye majamboz kwa wanaume huwa kichwani na sio kwenye suruali, hii ndio maana hujawahi sikia mwanaume amebakwa kwasababu kama kubakwa ni kitendo cha kulazimishwa bila hiyari basi mwanaume kamwe hawezi kubakwa. Sasa hebu turudi kwenye kesi yako na huyo mtu mzima mwenzio.

Kawaida wanaume huwa tunaji rank kwa wanawake wa namna gani tunaweza kutoka nao. Sasa ikitokea ukatoka na mwanamke ambaye kwa mujibu ya halmashauri ya kichwa chako is way beyond your expectations ndio kutokujiamini huwa kunatokea. Sasa inawezekana kabisa hilo ndilo likawa tatizo la huyo mwenzio. Pili, kutokujiamini kwake kunamfanya ahisi huenda muda wowote unaweza ukamtosa kwahiyo ndio maana unapobadilisha style yeye kwisha habari yake coz akili yake humtuma kwamba huenda hajakuridhisha na hiyo huamsha mfadhaiko ambao ni sumu kwa uwezo wa mwanaume ku perform.

Sasa kwa ushauri wangu mimi ni kwamba, endelea kumvumilia kwenye kipindi hiki kwasababu baada ya muda atagundua kwamba uko tayari kuwa naye kwa mapungufu yake na naamini atarudi kuwa normal na huenda akaenda even boyond 20mins unazozitaka wewe.
Asante kwa ushauri mzuri Mzuri nitazingatia
 
Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa
hongera kwa kuoa aisee!ila hakupendi huyo unachunwa tu hapo
 
Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa
A MAN NEEDS A CONTROL myu dear,nahisi una kaattitude flani hivi ambako kwa uzoefu wangu mie kungwi kiukweli huyo mwanaume hanyanyuki kwa sababu nyingi!
nahisi haoni uanaume wake umekamilika!jamani mi kila siku nasema haya mambo ya kujifanya mnaweza kila kitu haya yanawaharibia sana mahusiano na muwapendao!hebu muonyeshe huyo mwanaume unamhitaji zaidi ya dushelele!be a lady !be a babe!be a sweet little thing!hii ya kusema mi mwenyewe najimudu kila kitu,nina nyumba,sihitaji hela yake , my dear unampoteza huyo mwanaume hivi hivi!akikuatana na mibazazi ya kike inayonyorodoa jicho na sauti kama wapo mkoleni walahi utamsikia kwenye bomba!
a woman shuld be one!anayenipinga na anipinge lakini HABARI NDYO HIYO!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mtoto wa Kike lazima uwe na haya, inaoneka we huna Haya/Soni, unamfanyia full ukauzu, hata mie lazima ningejiuliza mara 2 2, mtoto wa kike lazima u pretend, hata kujifanya unaumia ilhal huumiii wala nn., especially siku za mwanzoni, namhurumia huyo Mtu mzima mwenzio kwa kukutana na Gube Gube
Mapenzi hayana haya...ikiwa mwenzenu shughuli inamshinda kuna makosa gani dada kutafuta solution...
 
  • Thanks
Reactions: awp
mtake radhi mwanaume angekuogopa angekutokea? hapo mimi naona tatizo ni huko kuplay dk 20 ushauri mpe pushkin vodca kabla ya game atakwenda dk 40.
 
  • Thanks
Reactions: awp
A MAN NEEDS A CONTROL myu dear,nahisi una kaattitude flani hivi ambako kwa uzoefu wangu mie kungwi kiukweli huyo mwanaume hanyanyuki kwa sababu nyingi!
nahisi haoni uanaume wake umekamilika!jamani mi kila siku nasema haya mambo ya kujifanya mnaweza kila kitu haya yanawaharibia sana mahusiano na muwapendao!hebu muonyeshe huyo mwanaume unamhitaji zaidi ya dushelele!be a lady !be a babe!be a sweet little thing!hii ya kusema mi mwenyewe najimudu kila kitu,nina nyumba,sihitaji hela yake , my dear unampoteza huyo mwanaume hivi hivi!akikuatana na mibazazi ya kike inayonyorodoa jicho na sauti kama wapo mkoleni walahi utamsikia kwenye bomba!
a woman shuld be one!anayenipinga na anipinge lakini HABARI NDYO HIYO!

Hapo kwenye red - au SIO RIJALI HUYO???? - nina maana sio FULL MAN
wanaume wengine - utamwona na wadada akiwasiliana nao na kutongoza kwa sana KUMBE ANA KASORO - INAWEZEKANA KAZALIWA HIVYO ............... YAANI HAKWEI MTUNGI ............ mh! dunia ina mambo jamani. So huyo naye labda ana tatizo hilo??????
 
hebu soma tena thread!af urudi kuchangia mkuu
 
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Inaelekea wewe ndio hujiamini. Jaribu kuwa mbunifu zaidi na kuonyesha mridhiko mambo yatakua shwari tu.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Peaneni mandalizi ya kutosha hasa wewe ulogundua udhaifu wa mwenzio.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Kwanza mpe nafasi ya kukumiliki wakita wa tendo lenyewe,
Usimuonyeshe kama ujaridhika wakati mpo faraga,
Jidai amekuridhisha hata kama sio ili kumjengea kujiamini zaidi
jilainishe kwa miguno na malalamiko ya kufurahia gemu ili kuchochea apate hisia,
na uwe sharp wakati unabadili stlye usiwe mzito hii inafanya jamaa kisinyaa,
Na kabla amjaanza umuandaae kwa kuonyeshe unafurahia kile mnachoenda kukifanya, kwa tabasamu, mabusu, kuongea mambo ya kufurahiana.

Hii itamjengea kujiamini na ataperfome vizuri tu. kazi kwako
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom