Mkuu sisi ndio wa hivyohivyo tu na cjui kwanini tunaendelea kua hivyo ingawa kimsingi hatuna sababu za msingi za kutokufanya mabadiliko aisee dah! inji inarasilimali watu wenye vipaji lukuki, ardhi yenye rutuba, misitu madini mito maziwa vivutio vya kila aina bado eti tunajiita ni masikini ...kudadadeki hili ndio madhara ya kumpa urais mtu aliyetoka kwenye jumba la sanaa Bwagamoyoooo aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.