Issue ni mtazamo tu.
Ukizani kuambiwa kujiajiri unaonewa endelea kuishi ivyo unavyoishi.
Najua changamoto mnayokumbana nayo inayotokana na false believe na high expectations tunapokuwa tunaishi maisha ya vyuo kwa hisani ya HESLB.
Utakuta unajisahau kabisa kumbe wewe mtoto wa mkulima wa korosho Lindi.
Jambo litakalowasaidi ni kujitambua.
Lazima mfahamu tunaishi dunia ya ushindani.
Idadi ya wahtimu ni kubwa kuliko idadi ya ajira zinazotokewa.
Mbadala hapo ni kuja na wazo la kutumia ulichonacho kujiendeleza ikiwemo kijiajiri.
Lazima kujua pia mwanzo haba ndo huzaa kikubwa mnachokitamani.
Jitihada na mtazamo sahii ndo mtaji namba moja.
Lazima upate wazo unaloweza lifanyia kazi kutokana na elimu na vipaji vyako .
Kaa chini tengeneza wazo. Shirikisha ndg zako na jamaa zako wa karibu kwani hao ndo wanaoweza kukuamini.
Tatizo mlilonalo vijana wetu tukiwapeleka shule mnapandisha mabega hamtaki hata kusalimu bdg zenu ambao nyie huzani mnawazidi kila kitu. Hivyo hamjengi social capital.
Marafiki ulio nao ni ku chat jf; fcb whtsapp na kumbe wote nyie ni tegemezi na akili mgando kwani mnafanana.
Punguzeni muda wa kujadili demu fulani ana kiuno kizuri; hips za ukweli; miguu ya bia and all blabla....
Tumia mida hiyo kuwekeza ku win trust za kusaidika na kujijenga kisaikolojia na kiuzoefu.
Jitolee
Shirikiaa na mzee au mama, kaka au binamu kubuni na kuendeleza bihashara ya genge lililopo nyumbani au kitu chochote cha kiuchumi kinachofanywa na jamaa zako.
Jishushe ; kubali kuonekana mnyonge kumbe wewe una mipango mikubwa badae.
Dunia imebadirika; nyakati zimechange hivyo ni mhimu kubadirika pia.