jamani msaada wadau(android)

jamani msaada wadau(android)

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
nimekuwa nikitumia huawei y200 lakini nikiwa katika zoezi la kuroot nimeharibu android system, nifanyeje niirudishe katika utendaji wake?
 
Yes I always say. Let us make a decision and stick to it. Tuache unafiki, visingizio, havina maana, kama KWELI tunataka kujenga polisi, kinachoshindikana nini?
Mie hata sielewi!!
Nashangaa kila siku,
Hivi jamani tunamdanganya nani?
Watu wazima hovyoooo!!!!

Je ni software ipi umeitumia kufanya rooting?
 
Toa maelezo imezingua vipi?!
Imestick kwenye boot animation au haiwaki kabisa?!
 
Back
Top Bottom