jamani msaada,simu yangu hai connect to the external camera

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
simu yangu ni aina ya samsung smartphone inafanana sana na blackberry ,kila ninapotaka kupiga picha inaniandikia"unable to connect to the external camera"tatizo ni nini na nifanyaje ili kuondoa tatizo hili na naogopa sana kwenda kwa mafundi wa mtaani.msaada jamani!!!
 
external kamera ipi? ambayo unataka ukonect. Unamaanisha unataka hiyo cm uikonect na kifaa(kamera nyingine) au?
 
hapana braza namaanisha ninapobonyeza kitufe cha kupigia picha ndo inaniandikia maneno hayo,pls help me!
 
zamani sana simu zilikua hazina camera ndo unachomeka camera za nje sasa sidhan bro kama kuna external camera.,labda useme secondary camera (ya mbele).

Jaribu nenda manual kwenye camera (usibonyeze button ya camera) pitia kwenye menu then camera uende kwenye setting maybe camera ya nyuma imekua disabled
 
ahsante,nimejaribu lkn bado tatizo ni lilelile.
 
Back
Top Bottom