Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
- Thread starter
- #21
Kwa kifupi niliaply education toka march first selection sikuweza kuchaguliwa na nikuwa na options ya kuedit nilivyoedit baada ya siku kadhaa nikakuta nilisearch nikakuta nimechaguliwa baada ya siku kadhaa nikakuta tena not found na toka hopo kwenye profile yangu nilinyimwa kuedit mbaka leoInaonyesha mwanzo hukuchaguliwa ukapanga tena machaguo, ndo maaana inaandika hvyo hapo inabidi usubiri mpk tar 15 kuna rafiki yangu akuchaguliwa alivyopanga tena ikawa inaandika hvyo