Jamani msaada please mwenye uelewa hapa

Jamani msaada please mwenye uelewa hapa

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Jamani msaada please mwenye uelewa hapa,

Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo

1473070377326.png
1473070377326.png
1473070394346.png
1473070406734.png
 
hawa nacte hawa hata mim siwaelew kabisa!!!!! mtu wanamwambia selected then wanamwambia wait for next selection sasa hata mtu hujui hapo ushike lipi?
 
Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo
Unaonekana uliomba chuo cha ualimu na vyengine .Ualimu bado amjachaguliwa ila kox nyengine auja chaguliwa ndo urudie kuomba
 
Ameunganisha screen shot za tangu alhamis sasa ndo maana watu hatuielewi kabisaaaaa
 
achana nayo, subiri usiku kuanzia saa 3 hivi ndio ujaribu tena kufungua kuangalia
 
Jamani msaada please mwenye uelewa hapa,

Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo

View attachment 393992View attachment 393992View attachment 393993View attachment 393994
hapo mjomba hujachaguliwa kuna rafik yangu jana nilimfungulia ikaja ivo..yeye hakupata division 3 wala GPA 1.6 form four that why akaachwa ndio leo ameapply upya kwa kuedit profile na kubadilisha machaguo
Wanavyokuambia next selection wana maana ya kuwa ufanye machaguo upya kwa kuelewa vigezo vya koz husika
dirisha limefunguliwa tarehe 5 jana mpaka tarehe 15 mwez huu
kafanye upya machaguo
 
Mimi nilikuta selected but chini wameandika hivyo hadi sasa profile yangu haina option ya kuedit
 
Inaonyesha mwanzo hukuchaguliwa ukapanga tena machaguo, ndo maaana inaandika hvyo hapo inabidi usubiri mpk tar 15 kuna rafiki yangu akuchaguliwa alivyopanga tena ikawa inaandika hvyo
 
Back
Top Bottom