Jamani mwenye kujua jina la huu wimbo au kama unao unaweza kunitupia hapa,umeimbwa na mkenya. Lyrics zake ni hivi! Nilikuwa na mpenzi wangu, Tulipendana Kama nyama Choma, alibahatika kwenda ng'ambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japan kusomea udaktari.....,
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums