Jamani mnataka mnisabishie laana

Jamani mnataka mnisabishie laana

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Nasikitika sana kuona peoples zikini husisha na Ciello pamoja na Lara 1, hiyo ni sawa na kulitea dhahama kwa huu mwaka kabla haujaisha. N:B, Ciello ni sawa kabisa na mama yangu. Je? Tamaduni zetu zinaruhusu mama na mtoto ku do.
Pili, Lara 1 ni sawa na Bibi yangu, Je? Tamaduni zinaruhusu mjukuu na bibi ku do. So, gfsonwin naomba urekebishe hari ya hewa pamoja na majigo wako /Kheri ya mwaka mpya wapendwa/
 
Jamani jamani manoah,uongo ni dhambi kwa Mungu!!
Mie nilikusababishia ban?
Nitake radhi tafadhali.
Heri ya mwaka mpya pia and love you likewise.
Ok, usijali Marry Hunbig , mi natakiwa kulala sasa ivi maana natakiwa ubongo wangu upate mda mwingi wa kupumzika....
 
Mery christmass ulienda kuhesabiwa?
Unatafuta nini hapa we Chimbuvu? Marry Hunbig njoo huku pembeni nikuambie kitu, huyu mkongo ataanza kukusumbua sasa ivi maana kaisha Chezea cha mbavu.
 
Ok, usijali Marry Hunbig , mi natakiwa kulala sasa ivi maana natakiwa ubongo wangu upate mda mwingi wa kupumzika....

Mungu akujalie kuamka salama na kuuona mwaka 2013.
Usiku mwema manoah.
 
Last edited by a moderator:
Unatafuta nini hapa we Chimbuvu? Marry Hunbig njoo huku pembeni nikuambie kitu, huyu mkongo ataanza kukusumbua sasa ivi maana kaisha Chezea cha mbavu.

Haya,nimekuja manoah,uninong'oneze.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akujalie kuamka salama na kuuona mwaka 2013.
Usiku mwema manoah.
Asante Marry Hunbig , ila nilikua nimekukumbukaaaaaa aiseeee nasubiri Kama dk 39 ivi then nilale maana najua nikilala nw ikifika saa 6 nitaamka. Ebu nipe story za huko ulipo
 
Asante Marry Hunbig , ila nilikua nimekukumbukaaaaaa aiseeee nasubiri Kama dk 39 ivi then nilale maana najua nikilala nw ikifika saa 6 nitaamka. Ebu nipe story za huko ulipo

Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!
 
Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!
Kweli ni jambo jema kumshukuru Mungu, kwani bila mapenzi yake tusinge kuwepo hapa mda huu, kuna wenzetu nw wapo mahututi vitandani, mwaka 2013 umejiandaaje nao ndugu.
 
Kwa upande wangu 2012 ilikua ni nzuri sana na mbaya kidogo, uzuri wake nashukuru Mungu nilimaliza masomo yangu salama na ninashukuru nikapata kazi nzuri inayo nipa jeuri hapa mujini
Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!
 
Back
Top Bottom