Jamani mnasemaje kuhusu hili

Jamani mnasemaje kuhusu hili

Uandishi gani huo mkuu, hebu Jirekebishe aisee...!!
 
Hakuna namna kweli bro
huwezi lazimisha maji kupanda mlima..kikubwa piga chini endelea kusaka pesa..atakutafuta mwenyewe ukiwa vizuri..mtoto wakiume hutakiwi kulialia na mapenzi.
 
huwezi lazimisha maji kupanda mlima..kikubwa piga chini endelea kusaka pesa..atakutafuta mwenyewe ukiwa vizuri..mtoto wakiume hutakiwi kulialia na mapenzi.
Sawa broo nmeelewa
 
ameona hauendani na kasi ya magufuri wenzio wanaamia dodoma we upo upo tu..!!
 
Back
Top Bottom