Jamani mnaniangusha wanawake wenzangu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Samahani kwa kutuma hapa kwani nimeona wengi haawafungui majukwaa mengine zaidi ya hili
naomba wanawake na madada wa jf nendeni mkatembelee jukwaa la biashara kuna kitu kizuri nituma kwa ajili yenu kule linawahusu ninyi nilituma ijumaa sikosei kachekini na mtoe comments zenu.
 

Attachments

  • woman.jpg
    woman.jpg
    14.7 KB · Views: 271

Similar Discussions

Back
Top Bottom