Jamani Mmeisoma hii???

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,275
Naileta kama ilivyo kutoka wazalendo!!!

09-05-2010, 09:48 AM
Mack Fish

Junior Member
Join Date: Aug 2010
Posts: 26


JAMII FORUMS INATUMIWA NA CHADEMA VS KINANA.
Kumekuwa na mashambulizi ya mara kwa mara kwa Mwenyekiti wa kampeni ya CCM bwana Kinana.kashfa na mashambulizi haya yamekuwa yakija kila mara kwenye mambo binafsi.kwa utaratibu huu bwana Jamii Forums imepoteza muelekeo kwa kuwa chombo kinachotumiwa kukashifu watu bila sababu.
__________________
Vijana Zaidi
 


Huyu ni mmojawapo wa mamluki-wa-mtandao wanaotunga hoja za kipumbavu kuja hapa kutusumbua. JF ina WATU MAKINI, na CHADEMA haihitaji JF kufanya kazi ya kampeni za maji taka, kama inavyofanya CCM.

Huyu ni wa kumpuuza. Ningekuwa Mod ningempa BAN ya mwezi mmoja, ashike adabu. Tena si Nick Ban, bali IP Ban!
 
Watatunga sana mwaka huu lkn Ushindi upo Chadema
 
Mnahangaika nao kwanini? Achaneni nao waendelee kujisifu na kutetea ufisadi. Kuna dogo mmoja anatumia jina lile lile hapa na kule na maramnyingi anawatetea mafisadi alilalamika juzi kuwa alikuja hapa tukamponda. So mkuu ni kuwapuuzia tu hao jamaa!
 
Kwa kuwa hakuna usawa katika kusambasa habari (tumeshuhudia TBC na wengine wlivo bised) njia pekee ni kwa walio na mawazo yanayoelekeana kuwa na ka jukwaa kao.Michuzi blog haitoi nafasi kwa wapinzani wa CCM na mara mbili nimesoma sas makala za Mjengwa na naona nahitilafiana nae.
Hivyo ni wazi JF itakuwa ni jukwaa la watu wanaoelekea njia moja.
Tuvumiliane.
 
another UPUPU

the guy is AUGUSTEEERZ.
wapo wengi humu kama mchanga vile

Dena Amsi

Member
Join Date Tue Aug 2010Posts 46Thanks 0Thanked 6 Times in 4 Posts Rep Power 0
 
Nani kamwambia JF ni ya Chadema? Mbona watu wanachangia kwa uhuru? Tatizo ni kuwa CCM hawataki kukubali kuwa wananchi wamewachoka. Kwa akili zangu, nawashangaa wale wanaoshabikia wizi, ufisadi, na unayanganyi wa mali za umma. Mimi mwenyewe ni mwanachama wa CCM lakini ninakerwa na matendo yao. Na kwa taarifa yenu, Wanaoiunga mkono CHADEMA siyo wanaCHADEMA tu, ni watanzania wenye uchungu na nchi hii inavyendeshwa kihuni. Mack Fish Anaweza kutwambia kwa mfano lile tangazo la Policy Forum kuhusu madini kwanini limepigwa marufuku TBC1?
 
Hivi jamani kuna kampeni ya uchaguzi wowote ule ambayo hauna rafu hata kidogo. Nadhani hata uchaguzi wa Pope wanatiana vijembe kidogo. CCM walianzisha kashfa dhidi ya Slaa ingawa zimegonga mwamba hata Usalama wa Taifa unakiri hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…