Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 May 31, 2016 #2 Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo
XinKumi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 1,276 Reaction score 1,146 May 31, 2016 #3 Mmasai wa pwani huyu,sijui hata kama anapajua kijijini kwao. YNWA
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,871 Reaction score 23,488 May 31, 2016 Thread starter #4 Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba.
Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba.
Melvin 16 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2012 Posts 483 Reaction score 500 May 31, 2016 #5 Hatari morani kabadilika
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,644 May 31, 2016 #6 PAGAN said: Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba. Click to expand... Ha ha ha alikuwa Mombasa?...
PAGAN said: Mama Yeyoo akiona anaweza kulia, maana Morani tangu arudi safari ya Mombasa siku hizi haeleweki. Hata sime na rungu siku hizi hataki kubeba. Click to expand... Ha ha ha alikuwa Mombasa?...
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,790 May 31, 2016 #7 Totos Boss said: Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo Click to expand... Hayo ni mavazi tu, hakuna cha mmasai hapo, anaweza kuwa mngoni, mzaramo au mbondei....
Totos Boss said: Hakuna cha mmasai ni mikwanja tu hapo Click to expand... Hayo ni mavazi tu, hakuna cha mmasai hapo, anaweza kuwa mngoni, mzaramo au mbondei....
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 1, 2016 #8 yaani mwanzo mwisho hajaruka juu hata kamoja huyo hata kwenye ukwavi hayupo