Jamani mliosoma Rungwe sekondari

mi nimepita pale o level, yote ya yote huwa simsahau senya, we umepita mwaka gani pale?
 
hivi bado ulanzi upo?
mi nimepita TUKUYU SEKONDARI, rungwe nilikuwa naenda kutembelea saana. tunapita KK, tunagonga kaulanzi kwanza.
 
hivi bado ulanzi upo?
mi nimepita TUKUYU SEKONDARI, rungwe nilikuwa naenda kutembelea saana. tunapita KK, tunagonga kaulanzi kwanza.

we mbufya nakujua wewe, ulanzi umeacha kweli?
 
Senya yuko dom ila namkumbuka sana na mbadala wake mwalituke,vp ntangu na kilimo chake aisee mambo ya mkwawa, mwaisela, lumumba, ramadhani hahahaaa
 
Senya yuko dom ila namkumbuka sana na mbadala wake mwalituke,vp ntangu na kilimo chake aisee mambo ya mkwawa, mwaisela, lumumba, ramadhani hahahaaa

au wewe ndiye uliyeonana naye majuz dom? Mi huwa nakumbuka mapera tu kule
 
Senya yuko dom ila namkumbuka sana na mbadala wake mwalituke,vp ntangu na kilimo chake aisee mambo ya mkwawa, mwaisela, lumumba, ramadhani hahahaaa

safii kaka umenikumbusha ticha mwalituke yupo kyela now days
 
Mi nilkuepo enzi za Headmaster Mgeni, (O-level). Nilikuwa nakaa Ramadhani. ila kila mara nilikua nashinda Mwaisela kukwepa kipigo cha wababe waliokua wanaishi Mkwawa lkn wanashinda sana Ramadhani
 
Mwaisela my bweni bana . Kuna mwalimu anaitwa mbwanji hv huyu jamaa yupo kweli alikuwa hata simuelewi ? Mwalimu wa practical halafu kafanya mtihani wa advance HKL
 
Mwaisela my bweni bana . Kuna mwalimu anaitwa mbwanji hv huyu jamaa yupo kweli alikuwa hata simuelewi ? Mwalimu wa practical halafu kafanya mtihani wa advance HKL

teh teh teh unanikumbusha mbali..habari za shallow boy Mbwanji...jamaa alikuwa haeleweki kwa kifupi
 
Ah!! Nyie vijana mmenikumbusha mbali sana!!

Mimi nilisoma pale enzi za Rungwe ALLIANCE Secondary School. Headmaster alikuwa Mbangula, halafu akaja Mwambungu, then Mbeba.

Tulikuwa tunalishwa viazi vitamu kwa sana mpaka matumbo yakawa yanaunguruma mfano pikipiki!!!

Ila kulikuwa na kisomo kwelikweli!!! Mpaka RASS ikawa kati shule maarufu TZ.

Je mpo mliosoma enzi hizo??????
 
Back
Top Bottom