jamani mke wangu analala vibaya sana!!

jamani mke wangu analala vibaya sana!!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
 
Hazikutoshi wewe tena ni gek kabisaa... Hilo ndio umeona la kulileta hapa... mpe kitanda cha peke yake Kama unaona usumbufu...
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Atakuwa hamkolezi eti, mwanamke ukimkoleza kisawasawa lazima atalala kwa utulivu ajabu eti. Mweleze jamaa yako ajitahidi kumkoleza akimfikisha mara mbili hivi kabla ya kulala, wakilala saa nne makeke yataanza 11 au 12 kukiwa kumekucha.
 
sipati picha ingekuwa mimi na navyopenda usingizi....pole sana mkuu...
 
Mhhhhhhhhhhhhh! YA LEO KALI!!!!!!! Mpe valium kidogoo au priton kabla hajalaa, AKILALA KAMA MFU, hata sense ya kurusha mguu hatokuwa nayo.
 
"walala-vibaya" hao wapo! Inaonekana hakufundishwa tangu utotoni kulala vizuri, na hasa kama alikuwa mtoto wa kwanza na pengine wa pekee anayelala peke yake kwenye kitanda chake. Hivyo anagalagala kama anavyotaka. watoto wa familia kubwa ambao hutakiwa kuchangia kitanda kimoja huwa daima wanafundishwa na wazazi jinsi ya kulala vizuri ili kutowaumiza wenzao au kuwaangusha chini sakafuni. Na wakati mwingine wazazi inabidi mara moja moja usiku kuamka kuja kuwatazama jinsi walivyolala. Hii inasaidia sana hata ukubwani. Mtu anakuwa na ethics fulani katika kulala. Asiposaidiwa na hapo mtu anakutana na vituko kama vya mkeo. Kumbe huyo hana pepo yeyote, mvumilie tu.
 
anunue kitanda kikubwa ampe uhuru mkewe...huo sio ugonjwa, ni ka weakness kadogo tu ila asisite kuongea naye kwa taratibu na kumshtua kila mara akiwa amemzonga wakiwa kitandani kama kumziba pumzi, au kamtwisha miguu, nk km anavyodai. ila hapo busara na hekima zinahitajika sana, asiende naye resi asije mpoteza mkewe maana siku hizi kupata mke mzuri ni ishu,wengi vimeo. kila la kheri Inshaallah!
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
 
Huyo ananifa mimi, dawa yake ni kumgonga ngozi usiku kucha, kila akinipandishia mguu mimi napanda juu ya kifua halafu namgonga mpaka ahame kitanda na kwenda kulala kwenye makochi.
Fanya hivyo, lazima atatulia maana baada ya dozi atalala usingizi wa porn.
 
Back
Top Bottom