Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

Yule ni "mwanaume" sio "wa kiume" bwana, the best husband in the world, i love my Manga ML more than the word itself.
Amen Amen, na mimi nyota yangu itawaka kama yako[emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Last edited by a moderator:
Ha Ha Haa Tusio Na Wapenzi Tutakoma Mwaka Huu Ni Wa Malofa Ma Ma Ke
 
Wanadada punguzeni mizinga isiyo ya lazima.Mtu hamjaoana lakini hela anazoomba ni zaidi ya mke wa ndoa.Anakutajia shida lundo we kama babake.

Weaving 50,000,nguo yangu ipo kwa fundi 80,000,nimechoka simu ya batani nataka huawei y 360 180,000.Beby Weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi.

Jamani haya ni mapenzi au biashara?

mkuu be a man... usipelejeshwe na hao malaya , hapo hakuna mapenzi tafuta mwengine mwenye uhitahi was mapenzi
 
Back
Top Bottom