Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

Inategemea ila wazee pesa lazima utoe coz usipotoa kuna wanaotoa kama hawana akil nzuri so ukijibana looool unaumbuka ___-- Yaani hakuna jinsi utatoa tu ___ Ila kama ni mtu akupendae atahitaji pesa kwa kaz ya maana sio kichen Party ---- Na kama huna sunamwambia ukweli ?? Af sinibora anekwambia 50000 kuna wanokutokea macho makav anataka I S T au 3ml af hacheki mkav machoni balaa

Hivi kwa iyo izo papuchi ni biashara, inamaana gani ya kuendelea ya kuwa wapenzi !!, ninavyojua wapenzi ni tofauti na malaya wanaojiuza so nyinyi mademu zetu ni Malaya mana sasa iyo mizinga imezidi inakuwaje kama munajiuza sasa munakera sana
 
basi achana nae katafute malaya kama hakuna tofauti kati yao.
 
Kama wewe mpo sayari gani???

mkuu ntakuwa mgonjwa labda , cjuagi kupiga vibomu jabisaaa na sijawahi duuu nkisoma nyuzi humu natamani mtu anipe tuition nimlipe!!! sijawahi omba hata kununuliwa simu ya nokia tochi
 
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee

nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..

Vocha shoga we huwezi kununua kwani?!
kama yeye anaona kuna umuhimu wa kukuweke salio atakuwekea
Nguo wewe huna hela ya kununua?! kama anajua hauna hela ya kununulia atakupa tu kama anajua umuhimu wake na majukumu yake kwako.
Mambo ya kuliliana na kudharauliana kisa vishilingi mbili hapana
 
Last edited by a moderator:
Wasichana wengi siku hizi hawaolewi sababu ni wapiga mizinga sana, mtu unskuta hata kuchat kwa msg ni mpaka umtumie ww credit unless no chatting hata km cm yake ina credit zq kutosha!
 
Nani kakuambia mke wa ndoa hupiga vizinga vya ajabu wakati bagate zenu mwapanga wote na emergency zote zinakuwa ni reasonable!! Vizinga haviwezi kupungua ikiwa wapigwa vizinga wapo.
 
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee

nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..

Na kwanini upige vizinga? Just be a woman na mwanaume anayetambua majukumu yake atatoa tu yaani walaaa hutumii nguvu, hivyo vizinga vya vocha waachi form 2.
 
Last edited by a moderator:

kweli shoga unaishia kudharauliwa kisa buku 2 ya kujiunga,....hapana kwamimi siwezi na sishauri mtu afanye hivyo.
LAkini, ukiona uko na mwanaume hajui majukumu yake kwako wala kujiongeza hawezi piga chini huyo
 
Last edited by a moderator:
mkuu ntakuwa mgonjwa labda , cjuagi kupiga vibomu jabisaaa na sijawahi duuu nkisoma nyuzi humu natamani mtu anipe tuition nimlipe!!! sijawahi omba hata kununuliwa simu ya nokia tochi

mh aisee mmebaki wachache wa hivyo.....
 
Na kwanini upige vizinga? Just be a woman na mwanaume anayetambua majukumu yake atatoa tu yaani walaaa hutumii nguvu, hivyo vizinga vya vocha waachi form 2.

majukumu labda mumeo au baba yako.....ila bf tu hivyo ni vizinga
 
Wasichana wengi siku hizi hawaolewi sababu ni wapiga mizinga sana, mtu unskuta hata kuchat kwa msg ni mpaka umtumie ww credit unless no chatting hata km cm yake ina credit zq kutosha!
kweli wewe umeongea kitu kzur hata mimi h tabia inanikera mno mana mapenz n kuungana ktk meng sa limtu unakuta daily wewe ndo umpigie dada zetu mbadilike
 
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee

nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
Mmmmh kwahiyo we ndo unahudumia?
hakuna hata cha mbinu ndugu, uso mbuzi tu, macho makavu unaomba
ukiwa na mbinu mbinu utaonekana mwizi
 
hahahaaaa shogaaaa huo uso mbuzi ndo nimeipenda, weee sihudumiii asilani labda aguswe tu anipe mwenyewe
 
Back
Top Bottom