Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
Hahaa..duhh.
naona mnapenda sana midoli
Hahaa..duhh.
naona mnapenda sana midoli
Mwanaume anaelalamika kuhusu mizinga mchunguzeni, ni wanaume fulani hivi, wana vitabia fulani hivi na ndio maana wanapata wanawake wa kufanana na wao.
Hahahah nipotee wapi bana, Nikikaa mbali na wewe ile nyota yako si itakuwa haing'ai na kwanguHahahaaa ulipotelea wapi mama?
Hahahah nipotee wapi bana, Nikikaa mbali na wewe ile nyota yako si itakuwa haing'ai na kwangu
Wacha weeeeh!! Haya mr kuwadi, huyo ni mdogo wangu kitamboooo
Weee nani kakudanganya, unadhani ningeendelea kukuganda tu hivi hivi. Mmh ngoja nisiropoke sana usije ukaghairi na nyota yakoHahahaaa!! Nyota imeanza kuzima taratiiiiibu
nishakuwa kuwadi tena mara hii? vizuri kama mnafahamiana toka kitambo. nilipenda avatar zenu zinavyofanana
Weee nani kakudanganya, unadhani ningeendelea kukuganda tu hivi hivi. Mmh ngoja nisiropoke sana usije ukaghairi na nyota yako
Hahahhaha shem pilipili manga au yupi? Manake waliotangaza nia ni wengiHahaaaa! Naanzaje sasa kughairi!! Umenionea wapi shemeji yako? Sijamtia machoni leo.
Hahahhaha shem pilipili manga au yupi? Manake waliotangaza nia ni wengi
Aah shem darlin mwenyewe, the one and only, Le mbabes wako sijamtia machoni kabisa. Lakini uzuri hela si kakuachia za kutosha?Kuniuliza hili swali ni kunitakia balaa tu wewe! Inamaana humfahamu shrmeji yako? The one and only, watangaza nia sio shemeji zako wewe, ni watangaza nia tu!
Aah shem darlin mwenyewe, the one and only, Le mbabes wako sijamtia machoni kabisa. Lakini uzuri hela si kakuachia za kutosha?
Hahahhah lazima uzizoee hela manake mtu anatoa bila hata kuombwa bana. Ngoja nimtafute shem arudi home fastaaaKuna muda hata hela sitaki namtaka yeye tu! Hizo ashanipa sanaaa.
Hahahhah lazima uzizoee hela manake mtu anatoa bila hata kuombwa bana. Ngoja nimtafute shem arudi home fastaaa